Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Ewaaaa sasa imagine unadate mdada hawezi ata kusema ana genye 😀😀😀😀chats zenu haziongei tabia mbaya, hamtaniani😀😀😀😀mkiwa wote akipita mdada mrembo hawezi kukustua ugeuke uangalie wooooi[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nimo kwenye relationship ya aina hii. Ni raha sana.
Rafiki halafu mshikaji wangu sana huyu binti dah! [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]