Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mwanangu kama vile unamjua.Ukimjibu text mbili tatu utaskia anakuambia, "Niambie!". Wakati yeye ndio kaanzisha mazungumzo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona mtu ameanza mambo ya kukuambia "niambie". Ni dalili ya mwisho kuelekea mahusiano kufa.Ukimjibu text mbili tatu utaskia anakuambia, "Niambie!". Wakati yeye ndio kaanzisha mazungumzo [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi nikishamjulia Salam , napiga kimyaaa .Usimjibu atazoea
Hiyo mbinu nzuri ya kukwepa maswali na zile niambie niambieSiku hizi nikishamjulia Salam , napiga kimyaaa .
Mpaka nimpgie mwenyewe.
Daah kwakweli Dear, jitahidi uwe na Stori , Mwanadam hapendi maswali !!Yaani ulivyosema tu huyo mchepuko wako ni mwalimu nikajua tu leo umeamua uninange. Hamna shida.
Haya sasa kwanzia leo nitakuwa na story.
Nmewah kudate Mwanadada Fulani, alikua ni Yatima !!Ukiona mtu ameanza mambo ya kukuambia "niambie". Ni dalili ya mwisho kuelekea mahusiano kufa.
😀😀😀😀fanyeni kudate marafiki zeu mpige umbea mchati matusi 😀😀😀mnaulizana maswali kama mko policeUko kazin?
Upo wapi sahiz?
Umekaa na nani?.
Umekula nn?.
Umelala na nani?
Mnaongea nn?.
Hizo ndio Stori za Bidada wangu Mchepuko wangu madam Fulani Hivi Mwalimu 🤣🤣
Hana Stori kabisa, yeye ni maswali mwanzo mwisho ,ni maswali mwanzo mwisho !!.Maswali mpaka Anaboa, nimeshamwambia hivi wee hunaga Stori zaidi ya maswali?.
Alafu Sasa, usipomjibu,. Anakuambia Humpendi.
Daah wee acha.😀😀😀😀fanyeni kudate marafiki zeu mpige umbea mchati matusi 😀😀😀mnaulizana maswali kama mko police
Na usiku akikuuliza unafanya umjivububaota jua la mfalme zumaridiDaah wee acha.
Siku hizi nimeshamjuliaa , mpaka mwenyewe atajitoa kwangu, akiona hatuendan midundo.
Hivi mtu ni saa Tano Asubuhi, ni siku ya kazi.
Bado unaniuliza... "uko wapi??''
Basi unamajibu, Niko Job.
Haipiti dakikaa... Anauliza, Unafanya nn?.
Kuna Siku nilimwambia... nipo nacheza karata na wagonjwa.
Yaan now days nampea majibu !! anavyojifanya Sasa et anawivu .Na usiku akikuuliza unafanya umjivububaota jua la mfalme zumaridi
Mbona hana shida?Uko kazin?
Upo wapi sahiz?
Umekaa na nani?.
Umekula nn?.
Umelala na nani?
Mnaongea nn?.
Hizo ndio Stori za Bidada wangu Mchepuko wangu madam Fulani Hivi Mwalimu 🤣🤣
Hana Stori kabisa, yeye ni maswali mwanzo mwisho ,ni maswali mwanzo mwisho !!.Maswali mpaka Anaboa, nimeshamwambia hivi wee hunaga Stori zaidi ya maswali?.
Alafu Sasa, usipomjibu,. Anakuambia Humpendi.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]fanyeni kudate marafiki zeu mpige umbea mchati matusi [emoji3][emoji3][emoji3]mnaulizana maswali kama mko police
Sema kweli mkuu😂[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nimo kwenye relationship ya aina hii. Ni raha sana.
Rafiki halafu mshikaji wangu sana huyu binti dah! [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Kama tunavyofanyaga sio?😄😀😀😀😀fanyeni kudate marafiki zeu mpige umbea mchati matusi 😀😀😀mnaulizana maswali kama mko police