Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 374
- 473
hujaelewa akichoandika , anazungumzi sehem yenye fursa za nje nje , USA sasa hv ina ushindan mwing
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Eti mtalii ulie filisika [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan 11 million open positions na kijumla kuna watu wangapi US nzima?Kuna more than 11 million open positions right now in the US
Tupe connection mkuuDah noma sana vijana pambaneni..pakuanzia Dubai au Qatar hata Singapore pia life ni tamu sana
Dah noma sana vijana pambaneni..pakuanzia Dubai au Qatar hata Singapore pia life ni tamu sana
Yaan 11 million open positions na kijumla kuna watu wangapi US nzima?
Mkuu kwa sasa mambo yako tafu kidogo ningekuwa na pesa ningekushika mkono. Tuombe tukijaaliwa kufika desemba mwaka huu.Mkuu kuwa mwongoza njia.nisaidie Mimi .mkuu nishike mkono kama una uwezo .huku bongo life ngumu.msuli tembo matokeo sungura.tunatamani kuwa tegemezi lakini hatuna cha kutoa.ndugu zangu ukiona mbwa Amalia usiku jua kuna jambo. Mwenye kukuswa anisaidie naimani Mungu atatenda njia
Jamani wakuu.Mimi pia mwenye connection za nje anisaiaidie hata kuzamia .yani natamani atakaye nisaidia hata nimlipe Mara 4 kwa fadhila nitakapo pata mishe. Kama hatoniamini achukue passport yangu kabisa siku nikimlipa ndo anirudishie.ukweli nishajikana nahitaji connection wakuu
Sawa kakaKama unaiyo spirit na hela kka. Nicheki inbox nikupe akili, usinipe hta mia.
Kwa hio tuje na sisi tupige mishe huko US unatushauri hivyo tusiende Germany Wala Canada Wala UAE?331.9 million (2021).
Kufananisha US na nchi zingine ni kujifurahisha tu, USA iko mbali sana in every aspect.
Shukurani.mkuu lkn ukibebwa jishikilie .mkuu niambie hata nichangie kiasi gani nitakachoweza lengo tusaidiane.huku life ngumu sana ,tunatamani kazi lakini hatuzipati .yani hata pakujitolea Ufanye kazi bure unakosa unaambiwa tutakujibu na hapo wazazi wanakutegemea na kingine mototo wa kiumeMkuu kwa sasa mambo yako tafu kidogo ningekuwa na pesa ningekushika mkono. Tuombe tukijaaliwa kufika desemba mwaka huu.
Mara ya kwanza ya kazi
Pili na tatu visitor visa
Ana mtasha kule mstate mwenyewe ambaye ndi host wake.
Kwa hio tuje na sisi tupige mishe huko US unatushauri hivyo tusiende Germany Wala Canada Wala UAE?
Kwani kwa US kazi zipo zinalipa sana?Kila mtu ana malengo yake. Kupanga ni kuchagua
Ni kweli. Lakini upande visitor visa I wonder kwanini walimnyimaVisa ya kazi akanyimwa?? Hapo utakuta alikuwa hana mke/watoto, nyumba, kiwanja au bank statement iliyoshiba.
Labda hayo mambo ya strong ties na nyumbani..Ni kweli. Lakini upande visitor visa I wonder kwanini walimnyima