Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Hizo kazi unazotafuta mtandaoni una professional gani?

Kazi za nje ukitaka uzipate ukiwa Tanzania tumia maajenti.
 
Hizo kazi unazotafuta mtandaoni una professional gani?

Kazi za nje ukitaka uzipate ukiwa Tanzania tumia maajenti.
Maabara ya viwanda(laboratory in general) likn kulingana na experience zangu BC kazi yoyote amabyo inakuja natambua naweza kuifanya huwa na apply mfno nilishafanya kazi Baker hivyo ikija hata job ya cook napita nayo na ikija job ya laboratory napitanayo nk.kwahyo ndo nafanyaga hvyo
 
Maajenti ngumu kupatikana mkuu nimejalibu sana na wengine wanakutaka ulipie kwanza hata job hujapata unaambiwa ulipe kwanza 2500$ sasa Mimi nitaitoa wapi? Kwa kumbukumbu zangu sizani hata baba alishawahi kuzishika mkupuo Leo unaniambia nitoe ili nipate job .inauma na kusikitisha lkn hakuna kukata tamaa
 
N
Hizo kazi unazotafuta mtandaoni una professional gani?

Kazi za nje ukitaka uzipate ukiwa Tanzania tumia maajenti.
Ndio mtandaoni yani kazi yangu ni kupiga mitaa mtandaoni kusaka job.na hakuna wep ya ubarozi ambayo pia sijapita mfano Canada pia nimeomba ,Denmark, Swden,USA,JAPAN,ITALIA, NK kote huko natembea bila kusahau wizara ya mambo ya nje ya Tanzania. Mambo bado.lakini HAKUNA KUKATA TAMAA siku nitakapo kufa yani naiingia kaburini ndoto hii ndo itakuwa imezima hapo lkn sasa hata kama nitakupa mzee bado nitataman siku moja nitimize ndoto hii.hvyo basi vijana wenzangu ambao lbda mko vizr pia mna watu ambao wanawa support plz jishikilie kuna watu wanatamni kuwa kama nyinyi lkn nafasi hawapati na ukipata anayekusaidia plz MPE heshima yake tambua mchango wake kwako life ni kusaidia na hakuna MTU alipambana mwenyewe akatoboa kumbuka elimu ambayo ww unayo Leo kuna MTU alikupatia Naye ni mwalimu.hvyo maisha ya MTU yako kwa MTU hvyo tunaishi tunategemeana.MHESHIMU SANA MTU ANAYEKUPA MSAADA WOWOTE HATA KAMA NI MAWAZO
 
Kwahiyo Mo Dewji na GSM wanavyosponsor Simba na Yanga wanawatafuna wana Yanga na wana Simba?

Hizi ni akili za wapi?
Wewe huwa ni tahira wala sikushangai. Tofautisha hizo sponsorship na huyu mtoto wa kiume anayelilia wanaume masponsor
 
Unabishana na tahira Hilo. Achana nalo
 
Unachotakiwa kufanya kwakuwa umri wako bado Mdogo, komaa kwanza na kazi Bongo au mitkasi yoyote ile bado hujachelewa.

Trip za kwenda ughaibuni hazina shortcut unahitaji fund, wengine wana bahati ndugu zao walishaandaa mazingira wanagharamia cost.

Option rahisi kwa mtu ambaye hana uwezo na kama una degree omba scholarship ya kusoma masters kwenye vyuo vingi ulaya na Marekani hakikisha unaijuwa vizuri lugha ya Kingereza na ujiandae kufanya mtihani wa Kingereza British council.

Hii ndio njia rahisi kwako ninayoweza kukushauri kama una degree, scholarship ship nyingi zinatolewa za masters na PhD.

Degree ya kwanza ili update scholarship inabidi uwe Kipanga kweli na GPA iliyoshiba ili kuwashawishi wazungu wakuchukuwe.

Apply hata vyuo 30 kwenye nchi zinazotumia Kingereza utafanikiwa, hii kama unaomba masters lakini, ni ngumu sana kupata scholarship kwa first degree.
 
Asante sana kiongozi
 
Shi
Shida mkuu Nina certificate
 
Shi

Shida mkuu Nina certificate
Hiyo unaweza kuapply Chuo kwa gia ya kwenda kusoma Ku upgrade level yako, admission letter ndio unatumia kuombea viza.

Zamani UK kuna Chuo kinaitwa Lincoln walikuwa wanatupa admission letter bila kulipa chochote, ndio lilikuwa chocho letu la kuchukulia viza miaka ya 2000.

Halafu kingine jitahidi kuwa na marafiki wa nchi za mbele zoeana nao kwanza wala usioneshe papara kama plan yako ni kwenda mbele.

Zamani kabla ya hii mitandao enzi za sanduku la posts kulikuwa na pen pal friend urafiki wa kalamu na kuna wenye bahati walitobowa humohumo na kupata mademu wa kizungu wakawarusha mantoni.
 
Asante
 
Sawa mkuu.nitaufanyia kazi ushauli huu
 
Shida wabongo ambao wako huko ukiwatafuta shida wanakatisha tamaa sana kwahyo inakuwa ngumu kupata rafiki wa kweli na watu wa huko ndo shida kupatikana
 
Kwel maisha ughaibuni pesa ipo saanaa lakini na gharama za kuishi pia ni kubwa sana kuendana na kias unachopiga kwnye mshahara wako ,mkija pia mfahamu kwnye hizo calculation mnazopiga mjue Kuna kitu kinaitwa tax hyo kitu achana nayo hasa hasa kwa Europe unaweza kulia kwa kuiona mkwanja unavyopigwa panga lakini ndo Hali halisi

Huku tunajifunza upigaji kazi bila kuchoka na ukijisahau kuchekwa ni suala la kawaida bongo maana huku starehr ndio mahala pake .

Na pia Kuna kitu kinaitwa homesickness kwa msafiri yoyote anaitambua hii Hali muhimu ni hasira na malengo tu

Anyway kila la kheri wapambanaji nawakarbisha Stockholm, Sweden
 
Hongera sana
 
Shida wabongo ambao wako huko ukiwatafuta shida wanakatisha tamaa sana kwahyo inakuwa ngumu kupata rafiki wa kweli na watu wa huko ndo shida kupatikana
Hhaaha sio kila aliyoko ughaibuni maisha yake yako poa mwngine anaogopa kukudanganya.

Na hawakatishi tamaa Ila wanajarbu kuwaambia ukwel halisi wa maisha yao Ila kwa wãbongo ni ngumu kuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…