Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Bado hujui hata ulichoandika, aliyekumezesha huu ujinga amekuingiza chaka.

Ingekuwa ni hivyo ni matajiri peke yake ndio wangekuwa wanakwenda hizo nchi.

Upo gizani hujui lolote kaa kimya.
Screenshot_20230314_071156_Samsung Internet.jpg

Wewe kilaza mzee wa kudandia treni hujui unachoongea unabisha kama upo kilabuni, nimekuletea from Canada.ca

$10,000 + Tuition fees
( $12,000-minimum/year) + Nauli
 
Korea kuna jamaa yangu ameenda juzi tu.hii ni mara yake ya pili,huwa anatumiwa hela ya tiket ya kwenda na kurudi,kule kuna kazi za shamba ,upandaji wa miche ya matunda na uvunaji wa matunda.

Alisema kule ni kazi kazi na kama wewe ni lele mama hutapaweza.Mana wanaenda na mda vibaya mno .Mda wa kulala usiku panawahi sana kukucha na mda wa mchana masaa hayaendi kabisa .

Sehemu ambayo huwa anafikia ni sehemu iliyo tengwa kwa ajiri ya wazee,hivyo kuona msichana au mu mama ni ngumu hadi uende mjini.

Huwa ana sema kule kupata mtu wa kibarua ni kazi kweli kweli,na hata mwenyeji wake huwa anamwambia asije akamkacha akiwa kule,mana vibarua ni adimu mno hasa waafrika mana ndo wachapa kazi tofauti na race zingine.

Malipo yake ni mazuri sana ila mziki wake ni wa moto mana unaweza kaa miezi sita hujaona binti wala mu mama.Ni wewe na kazi kazi na wewe ,ni kujitoa hasa.mana ni upweke wa [emoji817]%

Jamaa ni dereva wa lori ila huwa anaacha kazi huku anafata mkate wa kule .
Niunganishe nae basi tukawe wawili
 
View attachment 2550547

Wewe kilaza mzee wa kudandia treni hujui unachoongea unabisha kama upo kilabuni, nimekuletea from Canada.ca

$10,000 + Tuition fees
( $12,000-minimum/year) + Nauli
Wewe ni chizi, si kila aliyekwenda Canada ametumia njia ya shule, hujitambuwi hujui hata unabishania nini jinga kabisa.
 
Hakuna muujiza wa kufika nje bila pesa ndugu yangu

Mtu unamsaidiaje ana 3m?? 3m nauli tu haikufikishi North America.

Minimumu uwe na $25,000 hapo unaweza fika.

Conenction mtu anaweza kukusaidia ni kukuhifadhi utakapofika angalau uzoee mazingira hadi utakapopata kibarua, ukiwa nyumbani hujatoka pesa lazima iwe nayo

Tena hiyo 250000 kama anaekupokea akikukimbia imekula kwako
 
Hakuna muujiza wa kufika nje bila pesa ndugu yangu

Mtu unamsaidiaje ana 3m?? 3m nauli tu haikufikishi North America.

Minimumu uwe na $25,000 hapo unaweza fika.

Conenction mtu anaweza kukusaidia ni kukuhifadhi utakapofika angalau uzoee mazingira hadi utakapopata kibarua, ukiwa nyumbani hujatoka pesa lazima iwe nayo
Wewe jamaa m3 hauifika N. America ?
Upo serious na maisha kweli?
 
Green card ni fulsa inayotolewa na serikali ya Marekani kwa mtindo wa bahati nasibu na zinatolewa nafasi 50,000 ambapo watu kutoka maeneo mbalimbali duniani wanaruhusiwa kushiriki na nadhani inakuwa mwezi October kila mwaka,ukijaaliwa kupata nafasi hiyo unapata fulsa ya kupelekwa uko wewe na wategemezi wako ambao katika fomu yako uliyoijaza umewaorodhesha na ukifika uko unapatiwa makazi,kazi na wategemezi wako nao wanaendelezwa
Kwa namna ulivyoelezea hapo naamini kwa 100% haujui unachokiongelea.

Watz mjiepushe kutoa maelezo ya vitu msivyovijua.
 
Jaman Kweli Kibongo Bongo uwe na uwezo wa Kupata dolla 25,000/= hii ni sawa na almost 60million then uitumie kwa ajili ya Nauli tu na kula mbona mnatuchanganya.

Swali la Msingi ni Wangapii wanaweza kupata helaa hiyoo kwa pamoja ndo uende USA.

KUNA MTU NAMJUAA AMEENDA HUKO HANA HATA UWEZO WA KUMPA MTU 5M
 
Umu ndan kila mtu mjuaji sanaa .uhalisia n kwamba anaetafuta skuzote hakati tamaa.
Chamsingi nauli + pesa ya kujikim ukifika huko wakat unatafuta mishe mishe izo habar za dollar 25000 . Siunafungua kampun kabisa aseee
Tuache kutishana
M nikiwa na m4 nafika na naanza mishe mishe .. nyie wa dollar 25000 endeleen kuzitafuta tuu
 
Asikutishe mtu mkuu, million 4 unaingia Marekani bila mbambambaa.

Wanachosumbuwa Marekani ni viza yao tu, kuna watu wana bahati anapewa mwaliko wa harusi anakwenda ubalozini anapewa viza, wale consular section sometimes kama wana mapepo Fulani.

Kuna siku huwa zinatolewa viza mpaka unashangaa, na kuna siku mikasi ikitembea hadi wazoefu walioingia na kutoka Marekani wanaliwa vichwa.
 
Tatizo la humu mitandaoni, kila mmoja ana uwezo wa ku publish chochote kile, ndio mambuzi wengine wanatuandikia habari zao za uongo na kweli.
 
Umu ndan kila mtu mjuaji sanaa .uhalisia n kwamba anaetafuta skuzote hakati tamaa.
Chamsingi nauli + pesa ya kujikim ukifika huko wakat unatafuta mishe mishe izo habar za dollar 25000 . Siunafungua kampun kabisa aseee
Tuache kutishana
M nikiwa na m4 nafika na naanza mishe mishe .. nyie wa dollar 25000 endeleen kuzitafuta tuu
Hiyo dollar 25,000 wengine hapa nchini kama wakina Mpwanyungu Village ndio mafao yao wakistaafu baada ya kufanya kazi kwa miaka 30 serikalini.
 
Asikutishe mtu mkuu, million 4 unaingia Marekani bila mbambambaa.

Wanachosumbuwa Marekani ni viza yao tu, kuna watu wana bahati anapewa mwaliko wa harusi anakwenda ubalozini anapewa viza, wale consular section sometimes kama wana mapepo Fulani.

Kuna siku huwa zinatolewa viza mpaka unashangaa, na kuna siku mikasi ikitembea hadi wazoefu walioingia na kutoka Marekani wanaliwa vichwa.
Nini kifanyike kuwepa pata visa kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom