King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Jaman Kweli Kibongo Bongo uwe na uwezo wa Kupata dolla 25,000/= hii ni sawa na almost 60million then uitumie kwa ajili ya Nauli tu na kula mbona mnatuchanganya.
Swali la Msingi ni Wangapii wanaweza kupata helaa hiyoo kwa pamoja ndo uende USA.
KUNA MTU NAMJUAA AMEENDA HUKO HANA HATA UWEZO WA KUMPA MTU 5M
Mwenye uwezo wa kupata 60m hawezi hata siku moja kufikiria kwenda US kupiga BOX.