Watanzania ni wachache sana Marekani, wigo ukipanuka hata michongo inapanuka.
Siri ya Jeshi naiweka hapa leo, miaka 20 iliyopitay nilikuwa Uingereza, nilichokiona Kwa wenzetu wanigeria waliadvance miaka mingi iliyopita.
Kuna vyuo London Principal ni Mnigeria na management ni yao, vile vyuo wamevitumia sana kuingiza watu Uingereza Kwa student viza na viza ikiisha wanakuandikia wao document kwa malipo kwamba unaendelea na chuo stage nyingine, ukipeleka immigratuon unaongezewa viza, hawa Wanigeria tuliwatumia sana.
Sasa shida ya Wabongo hapa JF tu mtu analeta ujuwaji wakati hajui lolote na hajawahi kuishi mbele, NTU kama huyo akifika mamtoni usishangae hata akiwaunguza ujanja mnaotumia kupata viza wazungu wakabana.