Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Wakuu naona waganda wanaondoka sana kiwanja kwa kusingizia mashoga na wanaikimbia nchi yao kwa kusakwa na serikali ya museven naona hiyo ni fursa pia kwa upande wa wasafiri kafiri ukifika mambele unajilipua tu kwamba wewe shoga na unatoka uganda, utapewa mwanasheria, na hifadhi kwa kuhudumia kwa mwaka mzima Chakula, Hifadhi tena Sehemu classic kabisa then kesi ikienda poa unapewa ukaadhi maisha yanaendelea fanya chao chap wazeeee
Apo ukifika unatafutiwa libasha la kukutuliza lazima utanuliwe marinda
 
Asikutishe mtu mkuu, million 4 unaingia Marekani bila mbambambaa.

Wanachosumbuwa Marekani ni viza yao tu, kuna watu wana bahati anapewa mwaliko wa harusi anakwenda ubalozini anapewa viza, wale consular section sometimes kama wana mapepo Fulani.

Kuna siku huwa zinatolewa viza mpaka unashangaa, na kuna siku mikasi ikitembea hadi wazoefu walioingia na kutoka Marekani wanaliwa vichwa.
Mkuu M4 unaingiaje marekani? Labda ungesema hata UAE apo sawa
 
Endela kudanganywa na 4m yako

Utasubiri meli airport

Hizo 4m sijui utatumua kwenye nn

Yaan ufike airport umwonyeshe CBSA $1,700 ni kicheko
Watu wanachukulia safari kaa kitu simpo sana ..eti m4 tu uende USA Australia au Canada 🤣🤣🤣🤣
Labda wanazungumzia zile njia za kwenda na miguu adi brazil afu colombia uko sijui panama ndio utoboe west😂😂😂
 
Wewe mjinga mmoja huna uwezo wa kuwakatisha tamaa wapambanaji.

Wakati Diamond yupo Tandale mafala kama wewe ilikuwa ngumu kuamini itafika siku Diamond atakuwa anaingia na kutoka Marekani kama anakwenda chooni tu.

Wewe baki na msimamo kwamba mambo ni magumu, na Mimi nawaambia wapambanaji hakuna kisichowezekana chini ya juwa.
Sasa boy wa tandale yule ni msanii mzee, iyo m4 mtu anafikaje usa ama Canada? Em towa maelezo yaliyonyooka.
 
Hakuna muujiza wa kufika nje bila pesa ndugu yangu

Mtu unamsaidiaje ana 3m?? 3m nauli tu haikufikishi North America.

Minimumu uwe na $25,000 hapo unaweza fika.

Conenction mtu anaweza kukusaidia ni kukuhifadhi utakapofika angalau uzoee mazingira hadi utakapopata kibarua, ukiwa nyumbani hujatoka pesa lazima iwe nayo
Daaah jirani zetu wakenya mtu akishapata immigrant visa pamoja na nauli ya kuja US wanampokea kwa $500 tu, na akishaanza kufanya kazi ndio wanamtoza hela ya kumhost.

Lakini wewe unasema minimum $25,000 kwa nini wabongo tunakatishana tamaa hivi
Ungewaambia $5000 ingekua sawa.

Je wewe gharama ulioitumia kupata visa ni hiyo $25,000???
 
Ila wakuu tuwe serious kidogo, hzo USD 25000 Mimi kijana nnayemakemake ntaifikisha lini kwa mkupuo niweze kwende huko majuu! Ni kweli wote wanaoenda huko wanakua na hyo hela? Sitaki kubisha sababu sijawah kufika nikashuhudia lakin kiuhalisia hapana haiwezekani maisha yetu kibongobongo tunayajua majority kushika milioni moja tu kwa mkupuo ni kasheshe. Sasa zifike kumi ishirini mpaka hamsini sijui sitini hapana,
Naamini kutakua na namna nyingne inatumiwa licha ya kuwepo hzo taratibu za USD 25000, tuambiane njia nyingne tufuate hzo hela nyingi sana jamani na mbele tunataka kwenda
Tafuta nchi zingine zenye gharama ya chini uanzie huko..kufika USA au Canada ni lazima uwe umejipanga mzee 😀😀
Tena iyo gharama za chini siyo chini ya m5.
 
Mkuu apo kwenye immigrant visa unatushika, uyo mkenya anatumia vigezo gani kupata iyo visa? Kuhusu usd 25k inaweza kuwa nyingi maana mwenye hoja ake anatumia student visa. Sasa iyo I.V kwa apo Kenya inatolewaje? Labda kama unazungumzia mkenya aliyepata kazi moja moja USA na siyo mtu tu anayeenda eti kuomba visa alafu apewe moja kwa moja Immigrant visa
Daaah jirani zetu wakenya mtu akishapata immigrant visa pamoja na nauli ya kuja US wanampokea kwa $500 tu, na akishaanza kufanya kazi ndio wanamtoza hela ya kumhost.

Lakini wewe unasema minimum $25,000 kwa nini wabongo tunakatishana tamaa hivi
Ungewaambia $5000 ingekua sawa.

Je wewe gharama ulioitumia kupata visa ni hiyo $25,000???
 
Mkuu apo kwenye immigrant visa unatushika, uyo mkenya anatumia vigezo gani kupata iyo visa? Kuhusu usd 25k inaweza kuwa nyingi maana mwenye hoja ake anatumia student visa. Sasa iyo I.V kwa apo Kenya inatolewaje? Labda kama unazungumzia mkenya aliyepata kazi moja moja USA na siyo mtu tu anayeenda eti kuomba visa alafu apewe moja kwa moja Immigrant visa
Wanapata kupitia ndoa ikiwa watapata majimama au mabwana us citizen kwenye dating sites, vile vile kupitia green card lottery inayofanyika kila mwaka.
 
Wanapata kupitia ndoa ikiwa watapata majimama au mabwana us citizen kwenye dating sites, vile vile kupitia green card lottery inayofanyika kila mwaka.
Kama ni green card lottery iyo ni mtu yeyote ila wakenya mara nyingi wanashinda maana wanacheza wengi kuliko sisi wabongo tumelala sana na kuhusu kupata wazungu piya ina apply pote pote..
 
Back
Top Bottom