Literally dada zetu wanajiuza.wanasubiri vibabu vya kizungu pale wavuvi na slip way na palm beach hawatumiii nguvu wenyewe wana formula zao

case closedLiterally dada zetu wanajiuza.
Safi. Vijana wachangamke.Kuna conference ya kanisa U.S unapata invitation letter. Conference IPO mwezi wa 8 Missouri, nitatoza gharama kidogo kwa mwenye uhitaji.
Including supporting Documents
Hiyo invitation letter
Filling visa form na ku book appointment.
Karibuni sana.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji419]Unatafuta sponsor? Wewe ni KE? Au ndio mambo ya lgbt
Akufukuzaye hakuambii Toka😔😔Hakuna muujiza wa kufika nje bila pesa ndugu yangu
Mtu unamsaidiaje ana 3m?? 3m nauli tu haikufikishi North America.
Minimumu uwe na $25,000 hapo unaweza fika.
Conenction mtu anaweza kukusaidia ni kukuhifadhi utakapofika angalau uzoee mazingira hadi utakapopata kibarua, ukiwa nyumbani hujatoka pesa lazima iwe nayo
Hahaha Ibrahim Onami mzee wa "Huku Yues" (kwa lafudhi ya Kikenya), sasa hivi vijana wa Bongo na Kenya wanajitahidi sana kushare infos kuhusu US na sehemu nyinginezo, huyo jamaa watu wamemkubali na hiyo catchphrase yake wengine hadi wanamuiga sasa hivi kuna wanaojiita "Huku Yukei" (huyu ni Mkenya anaishi UK), kuna "Huku Germany", kuna "Huku Italy" nk
Angalau Ibrahim Onami anatupeleka USA kwa macho
Hahaha Ibrahim Onami mzee wa "Huku Yues" (kwa lafudhi ya Kikenya), sasa hivi vijana wa Bongo na Kenya wanajitahidi sana kushare infos kuhusu US na sehemu nyinginezo, huyo jamaa watu wamemkubali na hiyo catchphrase yake wengine hadi wanamuiga sasa hivi kuna wanaojiita "Huku Yukei" (huyu ni Mkenya anaishi UK), kuna "Huku Germany", kuna "Huku Italy" nk
Halafu ukiacha hawa kina EBM ambao wao huelezea sana fursa za kupata visa na scholarships, kuna watanzania wengine kama kina Jack huyu anaishi California na Dnyota huyu anaishi New York, nao huwa wanakatiza mitaa kuonesha maeneo ya huko
Huyo Jack naona ndio yuko deep zaidi jamaa huwa anaonesha yale maeneo ya kishua sana huko California kama Beverly Hills huko Los Angeles, mfano kuna siku alienda kwenye ukumbi wanapohost tuzo za Oscars akawa anaonesha na anaelezea jinsi wanavyofanya maandalizi sema tu polisi walizungushia senyenge, hivyo hakuweza kuingia hadi ndani kabisa akawa anarecord kwa nje lakini atleast mtu unaona na unaelewa jinsi mambo yanavyofanyika
Kuna nyingine tena alipanda mlima hadi kule karibu na ile "HOLLYWOOD" sign tunayoionaga kwa mbali kwenye movies, akaonesha namna watu wanavyoenda kutalii kule nikasema haya ndio baadhi ya mambo waafrica wanaoishi huko wanatakiwa kuwaonesha wenzao, siyo kila siku kuwasimulia au kuyaona kwenye videos za wazungu wenyewe tu
Huwa anapita pia kwenya maduka makubwa mbalimbali ya magari, simu na kuelezea bei zake na bei za vyakula kwenye migahawa mbalimbali, pamoja na kumbi tofauti za starehe na jinsi watu wanavyokula bata mida ya usiku wenyewe wanaita "nightlife", yani mtu anasafiri kwa macho hadi anafeel ni kama ako maeneo hayo, na anakuwa anajua hata siku akitaka kuenda ajipangeje na afike au atembelee maeneo gani ili aenjoy maisha ya Marekani kulingana na mfuko wake
Wow! Sijamjua huyo Jack nitajie jina la channel yake nikamtafute, kiukweli wanatukonga nyoyo sana hawa vijana wanatupa na hamasa ya kufanya harakati za kwenda huko, hua namuangalia na yule wa huku yukei ila Onami hua ananichekesha zaidi maneno yake, mzee wa kufreeze Maboringo [emoji23]
Me mwenyewe nikipata fursa mapema sanaaa sipo.
Edit: Nimemuona Jack wa USA acha niangalie videos zake
Anamaanisha NorwayNord kwa kijerumani ina maana ya kaskazini
Licha ya kuwa na rafiki huko, bado inakubidi kupitia kwa wakala? Wana nini ambacho jamaa yako hawezi kukuungabisha?Mimi mwaka jana kuna rafiki yangu yupo Dubai nilienda kwake baada kurudi Tanzania aliniambia kazi zipo nyingi sana hasa za Ulinzi pia aliniambia kuna safari za Canada lakini kwa Canada ni kwa kujilipua kwa ukimbizi.
Ila kwa Dubai nilishindwa kwa Mshahara aliniambia ni 2700 kwa fedha za kule kwani jina nimelisahau.
Na ktk huu Mshahara nyumba pamoja na usafini ni juu ya mwajiri kasoro tu Kula ni unajitegemea mwenyewe.
Mm ilinishinda kwani wanaonitegemea ni wengi kwani ingeniwia ngumu kusevu.
Na mawakala waaminifu wapo Uganda kuendana na maelezo ya huyu rafiki yangu kwani yy pia alianzia prosesi Uganda
Tupeane mash up mkuuMimi mwaka jana kuna rafiki yangu yupo Dubai nilienda kwake baada kurudi Tanzania aliniambia kazi zipo nyingi sana hasa za Ulinzi pia aliniambia kuna safari za Canada lakini kwa Canada ni kwa kujilipua kwa ukimbizi.
Ila kwa Dubai nilishindwa kwa Mshahara aliniambia ni 2700 kwa fedha za kule kwani jina nimelisahau.
Na ktk huu Mshahara nyumba pamoja na usafini ni juu ya mwajiri kasoro tu Kula ni unajitegemea mwenyewe.
Mm ilinishinda kwani wanaonitegemea ni wengi kwani ingeniwia ngumu kusevu.
Na mawakala waaminifu wapo Uganda kuendana na maelezo ya huyu rafiki yangu kwani yy pia alianzia prosesi Uganda
Acha kudanganya mkuu,kama hutaki kutoa connection kaa kimya itasaidia kuliko kudanganya.Hakuna muujiza wa kufika nje bila pesa ndugu yangu
Mtu unamsaidiaje ana 3m?? 3m nauli tu haikufikishi North America.
Minimumu uwe na $25,000 hapo unaweza fika.
Conenction mtu anaweza kukusaidia ni kukuhifadhi utakapofika angalau uzoee mazingira hadi utakapopata kibarua, ukiwa nyumbani hujatoka pesa lazima iwe nayo
Kwani kila anaekwenda canada anatumia njia kwenda kusoma?View attachment 2550547
Wewe kilaza mzee wa kudandia treni hujui unachoongea unabisha kama upo kilabuni, nimekuletea from Canada.ca
$10,000 + Tuition fees
( $12,000-minimum/year) + Nauli
Anatumia jina gani TikTokHahaha Ibrahim Onami mzee wa "Huku Yues" (kwa lafudhi ya Kikenya), sasa hivi vijana wa Bongo na Kenya wanajitahidi sana kushare infos kuhusu US na sehemu nyinginezo, huyo jamaa watu wamemkubali na hiyo catchphrase yake wengine hadi wanamuiga sasa hivi kuna wanaojiita "Huku Yukei" (huyu ni Mkenya anaishi UK), kuna "Huku Germany", kuna "Huku Italy" nk
Halafu ukiacha hawa kina EBM ambao wao huelezea sana fursa za kupata visa na scholarships, kuna watanzania wengine kama kina Jack huyu anaishi California na Dnyota huyu anaishi New York, nao huwa wanakatiza mitaa kuonesha maeneo ya huko
Huyo Jack naona ndio yuko deep zaidi jamaa huwa anaonesha yale maeneo ya kishua sana huko California kama Beverly Hills huko Los Angeles, mfano kuna siku alienda kwenye ukumbi wanapohost tuzo za Oscars akawa anaonesha na anaelezea jinsi wanavyofanya maandalizi sema tu polisi walizungushia senyenge, hivyo hakuweza kuingia hadi ndani kabisa akawa anarecord kwa nje lakini atleast mtu unaona na unaelewa jinsi mambo yanavyofanyika
Kuna nyingine tena alipanda mlima hadi kule karibu na ile "HOLLYWOOD" sign tunayoionaga kwa mbali kwenye movies, akaonesha namna watu wanavyoenda kutalii kule nikasema haya ndio baadhi ya mambo waafrica wanaoishi huko wanatakiwa kuwaonesha wenzao, siyo kila siku kuwasimulia au kuyaona kwenye videos za wazungu wenyewe tu
Huwa anapita pia kwenya maduka makubwa mbalimbali ya magari, simu na kuelezea bei zake na bei za vyakula kwenye migahawa mbalimbali, pamoja na kumbi tofauti za starehe na jinsi watu wanavyokula bata mida ya usiku wenyewe wanaita "nightlife", yani mtu anasafiri kwa macho hadi anafeel ni kama ako maeneo hayo, na anakuwa anajua hata siku akitaka kuenda ajipangeje na afike au atembelee maeneo gani ili aenjoy maisha ya Marekani kulingana na mfuko wake
Mitandao mingine sijui mkuu namuonaga youtube tuAnatumia jina gani TikTok
Nenda YouTube andika dnyota,ebm,jack wa usa na tonny vlogging hao wote wana deal na mambo ya usa yaani utashiba madini ya uko mbele.Anatumia jina gani TikTok