Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Watu wanachukulia safari kaa kitu simpo sana ..eti m4 tu uende USA Australia au Canada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda wanazungumzia zile njia za kwenda na miguu adi brazil afu colombia uko sijui panama ndio utoboe west[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mnaosema 4M haikufikishi US au Canada et al mko serious au mmeamua tu kupotosha makusudi, nauli za ndege zinatofautiana kulingana na factors kadhaa hakunaga fixed fares mara nyingi huwa zinarange kuanzia 2M mpaka hiyo 4M na zaidi, ila kifupi nauli inaweza kuwa kubwa au ndogo kulingana na sababu kama

Umbali
- Inategemea mtu anatokea nchi gani ya Africa na anaingia state gani ya US au province gani ya Canada (Mfano kwa US mtu anayeenda western states kama California nauli inakuwa kubwa kuliko mtu anayeenda eastern states kama New York, au kwa Canada mtu anayeenda mji kama Vancouver (west) nauli inakuwa kubwa kuliko mtu anayeenda mji kama Toronto (east), maana Marekani na Canada west ni mbali zaidi kuliko east ukitokea Africa)

Shirika la ndege
- Mashirika ya Europe (mfano British, KLM, Lufthansa au AirFrance) nauli zao kubwa kulinganisha na mashirika ya Asia au Africa (mfano Qatar, Emirates, Ethiopian au KQ), bila kusahau daraja unalopanda pia, maana obviously first class nauli ni kubwa kuliko business na ya business ni kubwa kuliko economy

Majira ya mwaka
- Anayesafiri majira ya summer au msimu wa sikukuu nauli inakuwa kubwa kuliko anayesafiri majira mengine ya kawaida

Muda unaokata ticket kabla ya safari
- Kuna watu wanakata ticket miezi miwili kabla ya safari huyu nauli inakuwa ndogo kuliko anayekata let's say wiki mbili kabla ya safari

Hapo mtu akipiga mahesabu ya safari kwa kucheza na hizo factors 4M inamtosha vizuri kabisa kufika US au Canada, kuhusu gharama za maisha atajua yeye akifika huko, lakini kusema kwamba eti hiyo hela hata nauli tu ya kumfikisha huko haitoshi ni urongo

Msiwakatishe wenzenu tamaa bana acheni waende wakajaribu
 
Kiazi wewe, hujui chochote

Kama utatuma EE (Express Entry) Lazima uwe na pesa $15,000 na utakapofika airport lazima uonyeshe hizo pesa bado unazo

Student nd EE ndio njia za uhamiaji huku (Student ndio njia nyepesi kiliko EE)

Checki lilivyo leupe kichwani kama chicken head

Nazijua sheria za uhamiaji zote za nchi na ukitaka nakupa msaada

Tofauti na hapo uje kama mfanya biashara ambapo uwe na $1,000,000 au mkimbiizi wa kisiasa au mkimbizi wa vita kama Ukraine na Afghanistan
hii kamba sasa mi najiuliza hii ajira ya uhamiaji niliipataje ? mbona siyajui haya punguza ku exaggerate mambo jombaa....

20230317_132150.jpg
 
Watanzania ni wachache sana Marekani, wigo ukipanuka hata michongo inapanuka.

Siri ya Jeshi naiweka hapa leo, miaka 20 iliyopita nilikuwa Uingereza, nilichokiona Kwa wenzetu wanigeria waliadvance miaka mingi iliyopita.

Kuna vyuo London Principal ni Mnigeria na management ni yao, vile vyuo wamevitumia sana kuingiza watu Uingereza Kwa student viza na viza ikiisha wanakuandikia wao document kwa malipo kwamba unaendelea na chuo stage nyingine, ukipeleka immigratuon unaongezewa viza, hawa Wanigeria tuliwatumia sana.

Sasa shida ya Wabongo hapa JF tu mtu analeta ujuwaji wakati hajui lolote na hajawahi kuishi mbele, NTU kama huyo akifika mamtoni usishangae hata akiwaunguza ujanja mnaotumia kupata viza wazungu wakabana.
kweli kabisa sheikh
 
Hivi mnaosema 4M haikufikishi US au Canada et al mko serious au mmeamua tu kupotosha makusudi, nauli za ndege zinatofautiana kulingana na factors kadhaa hakunaga fixed fares mara nyingi huwa zinarange kuanzia 2M mpaka hiyo 4M na zaidi, ila kifupi nauli inaweza kuwa kubwa au ndogo kulingana na sababu kama

Umbali
- Inategemea mtu anatokea nchi gani ya Africa na anaingia state gani ya US au province gani ya Canada (Mfano kwa US mtu anayeenda western states kama California nauli inakuwa kubwa kuliko mtu anayeenda eastern states kama New York, au kwa Canada mtu anayeenda mji kama Vancouver (west) nauli inakuwa kubwa kuliko mtu anayeenda mji kama Toronto (east), maana Marekani na Canada west ni mbali zaidi kuliko east)

Shirika la ndege
- Mashirika ya Europe (mfano British, KLM, Lufthansa au Air France) nauli zao kubwa kulinganisha na mashirika ya Asia au Africa (mfano Qatar, Emirates, Ethiopian au South African), bila kusahau daraja unalopanda pia, maana obviously first class nauli ni kubwa kuliko business na ya business ni kubwa kuliko economy

Majira ya mwaka
- Anayesafiri majira ya summer au msimu wa sikukuu nauli inakuwa kubwa kuliko anayesafiri majira mengine ya kawaida

Muda unaokata ticket kabla ya safari
- Kuna watu wanakata ticket miezi miwili kabla ya safari huyu nauli inakuwa ndogo kuliko anayekata let's say wiki mbili kabla ya safari

Hapo mtu akipiga mahesabu ya safari kwa kucheza na hizo factors 4M inamtosha vizuri kabisa kufika US au Canada, kuhusu gharama za maisha atajua yeye akifika huko, lakini kusema kwamba eti hiyo hela hata nauli tu ya kumfikisha huko haitoshi ni urongo

Msiwakatishe wenzenu tamaa bana acheni waende wakajaribu
Kuna watu wapumbavu sana humu, kujifanya wajuwaji wakati hakuna walijuwalo.
 

Attachments

  • Screenshot_2023-03-14-07-36-08-10.png
    Screenshot_2023-03-14-07-36-08-10.png
    31 KB · Views: 75
Daaah jirani zetu wakenya mtu akishapata immigrant visa pamoja na nauli ya kuja US wanampokea kwa $500 tu, na akishaanza kufanya kazi ndio wanamtoza hela ya kumhost.

Lakini wewe unasema minimum $25,000 kwa nini wabongo tunakatishana tamaa hivi
Ungewaambia $5000 ingekua sawa.

Je wewe gharama ulioitumia kupata visa ni hiyo $25,000???

hiyo $5000 visa unatoa wapi kwa mtoto wa Mtanganyika? Tourist Visa yenyewe hupati labda uwe na baba mwenye pesa.

huyo anaewadanganya kwa kuwaambia wakenya wanaenda kwa hizo ni muongo
 
Hapo mtu akipiga mahesabu ya safari kwa kucheza na hizo factors 4M inamtosha vizuri kabisa kufika US au Canada, kuhusu gharama za maisha atajua yeye akifika huko, lakini kusema kwamba eti hiyo hela hata nauli tu ya kumfikisha huko haitoshi ni urongo

Uwe unasoma vizuri mijadala kabla ya kujibu na kuandika maelezo marefu sana ambayo ni kinyume

tulibishana 4m anatakiwa awe nayo mtu ndio aweze kupata visa na safari,nadhani utakua umeelewa sasa
 
Sina muda na watu wajinga na wasiojielewa kama wewe.

Mwezi wa 6 nakwenda kwenye graduation Marekani nitakuthibitishia hapa hapa jinsi ulivyo mjinga.

Mimi ndio nataka nikutoe Ujinga na nikupe uelewa wa mambo Ndugu Matola, mimi sitakua na shida ukirusha mtu JFK kwa 4m.

usipende kuandika vitu usvyokua na uelewa navyo, sio kila kitu Unajuaaa, vingine uwe unakubali kufundishwa
 
Uwe unasoma vizuri mijadala kabla ya kujibu na kuandika maelezo marefu sana ambayo ni kinyume

tulibishana 4m anatakiwa awe nayo mtu ndio aweze kupata visa na safari,nadhani utakua umeelewa sasa
Wewe ndio upo kwenye ubishani, wenzako tunatowa taarifa na mwangaza kwa watu wanaotaka kwenda kupambana na hawajui ABC zozote.

Sasa post zako zote kama wewe si mjinga Fulani tu unayekatisha watu tamaa na kuonesha mambo ni magumu wakati uhalisia haupo hivyo, na njia za kuomba viza ni nyingi siyo wewe uliyekariri tu students viza.

Halafu ukitaka kuamini Wewe ni mjinga zaidi lete hapa quotation ya flight From Johannesburg to Dulles Washington Dc ni rand ngapi?

Basi kutoka Dar mpaka Johannesburg ni Tshillings 350,000/=
Sasa nataka nikufundishe maisha unabishana na mtu ninayekuzidi akili kwa mbali sana.
 
Mimi ndio nataka nikutoe Ujinga na nikupe uelewa wa mambo Ndugu Matola, mimi sitakua na shida ukirusha mtu JFK kwa 4m.

usipende kuandika vitu usvyokua na uelewa navyo, sio kila kitu Unajuaaa, vingine uwe unakubali kufundishwa
Taahira kama wewe huna cha kunifundisha, tueleze hapa Johannesburg to Dulles Washington Dc ni rand ngapi?
 
Wewe ndio upo kwenye ubishani, wenzako tunatowa taarifa na mwangaza kwa watu wanaotaka kwenda kupambana na hawajui ABC zozote.

Sasa post zako zote kama wewe si mjinga Fulani tu unayekatisha watu tamaa na kuonesha mambo ni magumu wakati uhalisia haupo hivyo, na njia za kuomba viza ni nyingi siyo wewe uliyekariri tu students viza.

Halafu ukitaka kuamini Wewe ni mjinga zaidi lete hapa quotation ya flight From Johannesburg to Dulles Washington Dc ni rand ngapi?

Basi kutoka Dar mpaka Johannesburg ni Tshillings 350,000/=
Sasa nataka nikufundishe maisha unabishana na mtu ninayekuzidi akili kwa mbali sana.
"Sasa post zako zote kama wewe si mjinga Fulani tu unayekatisha watu tamaa na kuonesha mambo ni magumu wakati uhalisia haupo hivyo, na njia za kuomba viza ni nyingi siyo wewe uliyekariri tu students viza."

Nakujibu hili
Maisha ya Tanzania nayajua vema sana, wengi wetu hatuna uwezo wa kwenda nje bila student visa(ndio Immigration pathways kwa miaka 15 sasa)-Usilete story zako za uzamiaji meli ndio maana waTanzania kila siku wanaishia kupigwa risasi SA.

Narudia tena, Mtanzania wa kawaida anaetafuta riziki bila kunyanyuliwa na mtu (visitor/tourist) huwezi kupewa visa maisha yetu tunayajua ndugu, ndio maana kina Chalii ya R walipopewa mwaliko na kusafirishwa hawajarudi kwasababu maisha yao yalikua hayana utofauti na tulio wengi humu.

Student Visda ndio visa pekee kwa mtanzania wa kawaida kupata tofauti na hapo USIDANGANYE WATU

TOURIST/VISITOR visa tuna kitu gani cha kuonyesha kuwa tunarudi TZ? IST/SUBARU tunazopiga nazo picha na kusumbua watu mtaani? kiwanja kimoja cha 30 kwa 40?

Enclosure 1
PROOF OF FUND.jpg



Hapo hujaweka gharama mbalimbali za IELTS, MEDICAL, BIOMETRIC etc etc

USIWE NA KICHWA KIGUMU
 
Back
Top Bottom