Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Sasa ndugu tunaomba utupe konesheni wale ambao tunahitaji, fanya mpango
 
Nimechoka na maisha ya tz please kama kuna agent muaminifu niunganisheni nae atlist nikafanye kaz yyt ya halali hata uarabuni nina passport na million 3 cash mkononi
 
Naamini safari moja huanzisha nyingine kama inabidi tuzamie hizi nchi za SADEC coz kuingia ni simple tuu ukiwa na passport tupambane huku tunatafuta connection za kwenda ulaya na america huko coz naamini nchi kama Namibia, zambia, botswana,angola,zimbabwe na south Africa ukifika nchi hizi inaweza kua rahisi kupata connection kuliko tz kwanza unakitana na watu wa mataifa mbali mbali, Get rich or die trying
 
Kwa upande wangu naona kuzamia nchi za Africa ni kupoteza mda,Bora kujipanga kuingia Dubai tukaanzie hapo alafu tukipata nauli tunaingia ulaya.binafsi katika zungukazunguka humu mitandaoni hasa Google,nchi zakuishi ukiwa unapiga kazi inayotuusu Sana ni kanada,alafu ukisha zoea unaweza enda marekani.lakini kwa sisi ambao bado tunajitafuta,Dubai ndo kituo chetu Cha kwanza.ila kwamaelezo zaidi mtu anayetafuta maisha Kama Mimi aulize Google maelezo yote yameshawekwa.
Andika "Kama una ndoto" hii mada pia ni nyongeza
 
Nimechoka na maisha ya tz please kama kuna agent muaminifu niunganisheni nae atlist nikafanye kaz yyt ya halali hata uarabuni nina passport na million 3 cash mkononi
Wewe,bado hujaenda na nauli zimepanda saivi😭😭😭,sijui tutaitokaje tz😭😭😭?
 

Nikweli mkuu unachoongea, ila huko dubai lazima uwe na mwenyeji wa kukupokea zile week za mwanzo uwe na sehemu ya kulala huku ukitafuta michongo au uwe na pesa ya kujikimu kimalazi kwa mda bila hivyo utapata shida sana. Yani hakuna nchi natamani kwenda kama canada ila one day yes.
 
Nikweli ni ngumu Sana Tena Sana
No kweli kwamba ni ngumu Sana Tena Sana kwenda bila kuwa na mwenyeji,lakini haina budi kujitoa muanga,maana tz inazidi kuwa ngumu Sana,alafu wa tz wengi walio uko wengi naona wakifika huko wanabadilika Sana,yani hawataki kutusaidia kabs,mimi nimewafatilia wa tz wengi ambao wapo nchi baadhi uko ughaibuni lakini hawtaki hata salami.sasa hakuna budi kwenda tu,maana ukisema usubiri mwenyeji unafia bongo na Umasikini.mimi nipo najipanga nkifikisha M 1 naenda kituo chetu Cha kwanza.ila kabla ya kwenda angalau kupitia huzi huu .Kama unandoto ya kwenda ulaya....,uandike google.maana hapo utapata kujua sehemu zakula bure,za kujiajili na vibarua,nk,ili ukifika uko angalau hata kimoja kikusaidie.ila kikubwa tuwe na ujuzi na tusibague kazi
 
Ukitaka kwenda nishtue mwanangu bongo nyoso mimi nipo tayari mzee😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…