Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Pole sana, najua wengi wamejaribu kama wewe lakini system imewaangusha vibaya sana na kuamua kurudi nje ya nchi walikotoka na kutokomea kabisa, ila amini fursa bado zipo usikate tamaa, fanya research na jaribu kupunguza risk kwa chochote utakachowekeza maana wabongo hawachelewi kukugeuza wewe ndio fursa

Noma
 
Uzi safi kabisa , ni wakati wa vijana kutanua wigo wa kusaka fursa majuu.

Kwa maoni yangu vijana wajaribu sana US kwanza wakikosa basi Ujerumani .
 
Usjli kaka maisha hakuna kukata tamaa,Mimi pia bado sijafanikiwa ndo twahangaika.lkn nitakujuza chochote nitakachopata.lkn wakati twapambania ndoto zetu zitimie BC maisha mengine yaendelee
vipi ndugu, ulifanikiwa hatua yoyote pengine?
 
Back
Top Bottom