Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Nimechoka na maisha ya tz please kama kuna agent muaminifu niunganisheni nae atlist nikafanye kaz yyt ya halali hata uarabuni nina passport na million 3 cash mkononi
Tuliaaa nifungue njia kwanza...nina madogo kama nane nimewafunza kazi wametimkia west Europe..nasikilizia documents hapa...wananiambia inaweza chukua mwezi mpaka miezi mitatu..kimbembe kwenye visa ila Mungu ni mwema nitatoboa.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Tupo pamoja,Mimi mwenyewe lazima nitoke kwenye hhii nchi,nipo najipanga,tutakutana tu.sema waliotutangulia ndo hawana msaada na sisi tu
 
Tupo pamoja,Mimi mwenyewe lazima nitoke kwenye hhii nchi,nipo najipanga,tutakutana tu.sema waliotutangulia ndo hawana msaada na sisi tu
𝑯𝒂𝒌𝒊𝒌𝒂 𝒘𝒂𝒏𝒈𝒆𝒌𝒖𝒂 𝒑𝒂𝒎𝒐𝒋𝒂 𝒏𝒂 𝒔𝒊𝒔𝒊 𝒊𝒏𝒈𝒆𝒓𝒂𝒉𝒊𝒔𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒎𝒂𝒎𝒃𝒐 𝒌𝒘𝒂 𝒌𝒊𝒂𝒔𝒊 𝒇𝒍𝒂𝒏𝒊 𝒊𝒍𝒂 𝒕𝒖𝒑𝒂𝒎𝒃𝒂𝒏𝒆 𝒕𝒖
 

Tunafanya:
• Passport Applications.
• Visa Applications & Appointments.
• Flight ticket Booking & Reservations.

Tunapatikana: Jengo la “Mbezi Park” Tanki Bovu, MbeziBeach.

Karibuni Sana![emoji1309]
 
Mimi nipo oman muscat nina mwenzi kama wa nane ndoto yangu kubwa ilikuwa kwenda korea ila baada kuona mfuko wangu mdogo nikaamua kuingia huku muscat alhamdullilah nmepata kazi maisha yanaenda
 
Mkuu nahtaj kwenda Austria , msaada tafadhali +255659943041
 
Mchongo wa kwanza umebuma.imekua ngumu kupata karatasi..nimejaribu tena nasikilizia
Kama huko chini ya m 5 ,naona ni kusahau kabs kuhusu ulaya,labda upate job offer,ila UAE unaingia upesi Sana,na hapo ndo tumesetiwa kuanzia hapo
 
Ushauri wangu kama una umri yaidi za miaka 25 hakikisha una Bachelor kabla haujaja majuu. Lakini kama ni kijana sizo mbaya ukija bila elimu. Pia kabla haujaja explore Tanzania nzima unaweza kukuta kuna fursa nzuri ambayo hauioni kwa sababu umeishi sehemu moja muda wote uliopo nchini. Huku majuu mpaka uwe umesimama inachukua muda kidogo.
 
Mpaka nimekuonea "wivu!" Ninapenda sana kutembea, lakini mpaka sasa sijazimaliza hata nchi za E. A. Nchi za Kigeni nilizokwishazikanyaga ni Kenya, Uganda na Burundi tu. Nina mpango wa kwenda South Africa mwishoni mwa mwaka huu, hasa mpango fulani ukikaa sawa.

Hongera sana mkuu. Wewe ni Mtanzania halisi? Una "exposure" kubwa sana! Hata kama ungekuwa umeishia darasa la tatu, kwa exposure hiyo, umepata "uelewa" mkubwa sana.

Natamani nusu ya Watanzania bila kujali Elimu na jinsi yao wangepata "exposure" kama yako. Ingetusaidia sana kama Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…