Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,206
- 1,152
Mimi nahitaji kwenda nje kupitia agent then nikipata kazi atadeduct gharama zake alizotumia.
Una level gani kwenye ubaharia? Nadhani utakuwa umesoma DMI, Kwahiyo ulisoma nini au kozi gani na una cheti gani?Na vipi kuhusu kazi za ubaharia
Unaishi Singapore? au umewahi kuishi Singapore?Ndugu zangu kuna nchi kama Singapore maisha yake yako poaaa kabisa, kazi za kutosha, na visa yake haisumbui ni Entry tu kwa sisi.
Acha kukatieha watu tamaa,Kuna anko wangu katika US Ana miaka 50 na kitu Hana Cha bachelor Wala Diploma na anaishi huko na familia yake....Wabongo acheni ubinafsi.Ushauri wangu kama una umri yaidi za miaka 25 hakikisha una Bachelor kabla haujaja majuu. Lakini kama ni kijana sizo mbaya ukija bila elimu. Pia kabla haujaja explore Tanzania nzima unaweza kukuta kuna fursa nzuri ambayo hauioni kwa sababu umeishi sehemu moja muda wote uliopo nchini. Huku majuu mpaka uwe umesimama inachukua muda kidogo.
M1 inatosha kukupeleka nje ya Afrika ?Nikweli ni ngumu Sana Tena Sana
No kweli kwamba ni ngumu Sana Tena Sana kwenda bila kuwa na mwenyeji,lakini haina budi kujitoa muanga,maana tz inazidi kuwa ngumu Sana,alafu wa tz wengi walio uko wengi naona wakifika huko wanabadilika Sana,yani hawataki kutusaidia kabs,mimi nimewafatilia wa tz wengi ambao wapo nchi baadhi uko ughaibuni lakini hawtaki hata salami.sasa hakuna budi kwenda tu,maana ukisema usubiri mwenyeji unafia bongo na Umasikini.mimi nipo najipanga nkifikisha M 1 naenda kituo chetu Cha kwanza.ila kabla ya kwenda angalau kupitia huzi huu .Kama unandoto ya kwenda ulaya....,uandike google.maana hapo utapata kujua sehemu zakula bure,za kujiajili na vibarua,nk,ili ukifika uko angalau hata kimoja kikusaidie.ila kikubwa tuwe na ujuzi na tusibague kazi
Nauli yake ni sh ngapi ?Ndugu zangu kuna nchi kama Singapore maisha yake yako poaaa kabisa, kazi za kutosha, na visa yake haisumbui ni Entry tu kwa sisi.
Hapo ndo watanzania tunapofeli tunategemea kupewa kila kitu. Huku nje watu wanao prosper na kufanikiwa Afrika Mashariki ni wakenya maana hao wanajua nini maana ya shida. Sawa Tanzania tuna shida lakini bado tumebweteka sana. Inabidi serikali iongeze ugumu wa maisha kidogo ili tuamke aisee.Ingekuwa ni rahisi hivi basi kila agent angepeleka ndugu zake wote nje. Hapa wabongo ndo tunapokwama, mnataka kutafuniwa kila kitu.
Huyo uncle wako alienda akiwa na miaka mingapi ? Na alienda lini ? Hizi nchi kila kitu kimepangiliwa na wanaenda na wakati. Uliza Diaspora watakuambia kwenda Marekani au nchi za ulaya miaka ya 90 ilikuwa rahisi kuliko miaka hii ya 2020. Sheria zimebadilika aisee, kama unataka kuzamia kama watu afrika magharibi pitia bahari ya Meditteranea. Ukifika huku wanakuuliza taaluma kama hauna taaluma wanakupa pesa ya matumizi kila mwezi kwa miezi kadhaa. Halafu wanatafuta siku moja wanakuja usiku wa manane, wanakwepa waandishi wa habari na majirani. Wanakupandisha ndege kwenu, huku kuna ugumu wake. Kila kitu kiko planned hakuna janja janja. Tatizo hamufuatilii habari angalia nchi kama Sweden wakimbizi wametuharibia. Huku ulaya waafrika wanakaririwa kama wauza madawa. Ili kukomesha hili ndo maana wamekuja na sheria mpya ambazo nimeorodhesha hapo juu. Wakenya wenye taaluma wengi sana wameomba kazi na wamepata huku. Huku inabidi ukaze makota kikweli kweli watu wanajiforce kujifunza courses online ili waende na hitaji la soko la kazi.Acha kukatieha watu tamaa,Kuna anko wangu katika US Ana miaka 50 na kitu Hana Cha bachelor Wala Diploma na anaishi huko na familia yake....Wabongo acheni ubinafsi.
Kama mimi mkuu.Hii nchi lazima niondoke kwa namna yoyote ile ya halali.
Nimesoma short course nina mandatory certificate,rescue boat,rating part of navigation watch na CDC seatime 6 month ndo nimamaliza rating sasahiviUna level gani kwenye ubaharia? Nadhani utakuwa umesoma DMI, Kwahiyo ulisoma nini au kozi gani na una cheti gani?
Dunia ya sasa siyo kuwa na seaman book ndio ubaharia.
Mbona cruise ship nyingi zinaoffer kazi?Nimesoma short course nina mandatory certificate,rescue boat,rating part of navigation watch na CDC seatime 6 month ndo nimamaliza rating sasahivi
Unaweza kunisaidia kunipa taratibu zipi nifateMbona cruise ship nyingi zinaoffer kazi?
Alienda kwa njia ya ukimbizi akitokea kambi ya Zimbabwe,akiwa na familia yake,Mke na watoto wanne pamoja na shemeji yake wa kike....aliondoka Tanzania mwaka 2006 kafika Marekani mwaka 2016....kakaa kambini Zimbabwe miaka 10.Huyo uncle wako alienda akiwa na miaka mingapi ? Na alienda lini ? Hizi nchi kila kitu kimepangiliwa na wanaenda na wakati. Uliza Diaspora watakuambia kwenda Marekani au nchi za ulaya miaka ya 90 ilikuwa rahisi kuliko miaka hii ya 2020. Sheria zimebadilika aisee, kama unataka kuzamia kama watu afrika magharibi pitia bahari ya Meditteranea. Ukifika huku wanakuuliza taaluma kama hauna taaluma wanakupa pesa ya matumizi kila mwezi kwa miezi kadhaa. Halafu wanatafuta siku moja wanakuja usiku wa manane, wanakwepa waandishi wa habari na majirani. Wanakupandisha ndege kwenu, huku kuna ugumu wake. Kila kitu kiko planned hakuna janja janja. Tatizo hamufuatilii habari angalia nchi kama Sweden wakimbizi wametuharibia. Huku ulaya waafrika wanakaririwa kama wauza madawa. Ili kukomesha hili ndo maana wamekuja na sheria mpya ambazo nimeorodhesha hapo juu. Wakenya wenye taaluma wengi sana wameomba kazi na wamepata huku. Huku inabidi ukaze makota kikweli kweli watu wanajiforce kujifunza courses online ili waende na hitaji la soko la kazi.
Nakuja kesho.View attachment 2773395
Tunafanya:
• Passport Applications.
• Visa Applications & Appointments.
• Flight ticket Booking & Reservations.
Tunapatikana: Jengo la “Mbezi Park” Tanki Bovu, MbeziBeach.
Karibuni Sana![emoji1309]
Hebu sema kweli.Ndugu zangu kuna nchi kama Singapore maisha yake yako poaaa kabisa, kazi za kutosha, na visa yake haisumbui ni Entry tu kwa sisi.