Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Habari wakuu, hela ya kwenda usa au canada nimepata, kuna huyu ajenti namuona tiktok anatamba anaweza kumtafutia mtu yeyote visa ya kwenda usa kufanya kazi anaitwa Dnyota Travel ajent vp kwa anayemfahamu sio mpigaji kweli? Mind you nataka kazi zisizo na taaluma, msiniambie mambo ya kuapply DV lottery.
 
Somea taaluma ya IT hata cheti cha diploma ukishamaliza apply kazi utapata. Kama hautaki kusoma njia pekee na ya uhakika mbadala na hiyo niliyokuambia ni kumuoa mmarekani. Huu naokuambia ni ukweli sitaki upoteze hela au uibiwe hela yako.
 
Mkuu so hizi kazi za caregiver mpaka usomee? Mbona nasikia kuna kazi nyingi zisizo hitaji taaluma, hata kubeba box mpaka nisomee??
 
Mkuu so hizi kazi za caregiver mpaka usomee? Mbona nasikia kuna kazi nyingi zisizo hitaji taaluma, hata kubeba box mpaka nisomee??
Kuwa Caregiver lazima ufike huko na visiing visa then u-apply kusomea. Kupata visiting visa ni kipengele tene kama una lengo la kuzamia.Mcheki EBM na Kenyan American Home wanaweza kukusaidia.
 
Kuwa Caregiver lazima ufike huko na visiing visa then u-apply kusomea. Kupata visiting visa ni kipengele tene kama una lengo la kuzamia.Mcheki EBM na Kenyan American Home wanaweza kukusaidia.
Poa mkuu nimekusoma ila nasikia kwenda kwa visiting visa ukifika kule kupata work permit inakua issue sana. So kwa uzoefu wako hapa bongo mawakala wote wahuni sio.
 
Poa mkuu nimekusoma ila nasikia kwenda kwa visiting visa ukifika kule kupata work permit inakua issue sana. So kwa uzoefu wako hapa bongo mawakala wote wahuni sio.
Hakuna ubalozi wowote hapa tanazania ambao hauwezi ku-apply Visa wewe mwenyewe. Kaa chini fanya utafiti kwenye mitandao. Kuwa muwazi kwako wewe mwenyewe nini unataka kufanya ukifika marekani na una vigezo gani. Angalia kwenye website zao za ubalozi. Pia kuna youtubers wengi wanaelezea kila kitu wewe tumia muda wako vizuri tu. Hawa ma agent hawapo serious kwa sababu hawajafungwa na sheria za nchi yetu wala nchi unayooenda. Ma-agent wa kenya wako poa maana wana ofisi katika nchi husika. Lakini kwa kwetu sisi hapa nyumbani inabidi ufanye kila kitu mwenyewe hakuna mtu au taasisi ina wahold responsible. Namalizia kwa kusema ni vigumu kwenda bila taaluma. Sio kwamba haiwezekani lakini uwezo wa kupata Visa ni mdogo sana. Nina-attach hapa youtube channel za Kenyan American Home na EBM. Huyu kenyan American Home ameelezea kila kitu ila EBM vitu vingine mpaka ufanye nae booking uwasiliane nae moja kwa moja. Kama unataka ku-save hela na kuishi vizuri unapokwenda maana unajua hatua zote ulizotumia fanya Visa Application wewe mwenyewe.

Shukrani mkuu
 
Mkuu unanikata maini kinoma unavyosema bila taaluma sitoboi dah, ahsante sana kwa maelezo yako mazuri mkuu nayafanyia kazi.
 
Mkuu unanikata maini kinoma unavyosema bila taaluma sitoboi dah, ahsante sana kwa maelezo yako mazuri mkuu nayafanyia kazi.
Ndugu yangu fanya utafiti wewe mwenyewe labda kuna loophole unaweza kufanya. Tatizo sisi watanzania tunajidanganya ili ufanikiwe wewe mwenyewe inabidi ujichane. Ujijue madhaifu na sifa ambazo hauna na ambazo unazo katika ku-apply VISA.
 
Nimepata M5 hapa,si nadhani naweza ingia Marekani au Canada bila kipingamizi,na kwamda wowote,au inakuwaje?
Ndugu yangu fanya utafiti wewe mwenyewe labda kuna loophole unaweza kufanya. Tatizo sisi watanzania tunajidanganya ili ufanikiwe wewe mwenyewe inabidi ujichane. Ujijue madhaifu na sifa ambazo hauna na ambazo unazo katika ku-apply VISA.
 
Yani hao wezi wameshakuwa wengi mno humu,mtu anajifanya wakala wa ughaibuni wakati Hana sifa hata moja ya kuwa wakala,Wala hajui nauli ,Wala chochote,ila hapa wapenda vyepesi lazima watapigwa tu.
 
Ndugu,shukrani Sana kwa Uzi wako,nikitoka bongo sikumoja ntakutumia hata ela ya soda
 
Natakiwa kuwa na bei gani ili niende south korea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…