Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Hii nayo kama kweli vile 🤔
 
wakala wa ukweli aje hapa nilipue wadogo zangu waende mbele waache kukaa kitaa
 
Tupeni muongozo mabaharia wa kuingia Canada na USA
 
Mkuu vp kama Niki apply kazi na kupata nikiwa bongo inaweza cost bei Gani kuingia Canada?
 
Ndoto ni kwa watu wanaolala. Ungesema wenye mipango basi na mimi nimo. Tayari nimeshafanya maandalizi yote. Nikikosa ajira bongo mwaka huu, mwakani najilipua ulaya
 
Blocked Account 11000 euro sio m
Mazingira ya ughaibuni yamebadilika sana na yanazidi kubadilika zaidi. Msisha magumu yapo zaidi ughaibuni na sio Afrika.

Pamoja na kwamba nchi ya Marekani ukisha ingia huwezi kusumbuliwa kwa kufuatiliwa na kuulizwa uhalali wako wa uhamiaji, shida utakayoipata ni upatikanaji wa kazi bila authorization paper work from immigration ndio shida, usipokuwa mwangalifu utaishia kuwa homeless. Visa status vilivyotum9ka zama hizo kuwezesha kupata authorization paper work vilishaditishwa, labda uingia kama mwanachuo kama unazo pesa za kulipa karo.

Kwa wenye kubahatika nashauri wawe na malengo ya muda mfupi ili kujiwezesha kutengeneza maisha ya bongo hasa kiuchumi. Ukiamua kuiga maisha ya wazungu shsuri yako, kumbuka uzee dqily unazidi kuusogelea na ujapo kuwaona uliowaacha bongo watakuwa wameshafika mbali zaidi.

Ulaya na Marekani ya sasa ni tofauti na ya zamani, kiuchumi na mazingira ya kujiwezesha hali imehamia Asia na yaingia kwa kasi sana barani Afrika.

Nchi za ulaya Na Amerika ya kaskazini tunazizidi kwa utajiri wa rasilimali ila tu sisi tu wajinga barani afrika kwa kutotumikisha bongo zetu kwa kutuwezesha kujitajirisha kwa unono wa rasilimali zilizopo.
 



View: https://www.instagram.com/p/DBZwdZKK-q2/RISE Summer Internship 2025 in Germany | Fully Funded

Duration: 3 months

🤑 Financial Benefits
• Monthly scholarship of 992 Euros for a full month.

• Health, accident, and personal liability insurance.
• Attend a three-day Germany meeting in Heidelberg.
• Travel allowance of 160 Euros for the event.
• International travel subsidy.

Deadline: November 30, 2024

Link is available in our story and highlights
 
View attachment 3141520


View: https://www.instagram.com/p/DBZwdZKK-q2/RISE Summer Internship 2025 in Germany | Fully Funded

Duration: 3 months

🤑 Financial Benefits
• Monthly scholarship of 992 Euros for a full month.

• Health, accident, and personal liability insurance.
• Attend a three-day Germany meeting in Heidelberg.
• Travel allowance of 160 Euros for the event.
• International travel subsidy.

Deadline: November 30, 2024

Link is available in our story and highlights
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…