Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Bufa CANADA NA USA wapi kutamu kwa mtafutaji ??
 
Unataka mtu akija kuwekeza Tanzania ajitangaze ili iweje,wewe endelea kunywa maji ya kisima na kuvaa t-shirt za ccm

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu upo uko US? naomba a,b,c za kufika uko?
 
Mkuu upo wapi? Tupeane maujanja ya kufika uko
 
Mbona mchanganuo wako umekaa katika style ya kukatishana tamaa.
 
Kaka nimekucheki inbox
 
Kwenye suala la ku-share fursa yaani mitazamo ya wabongo ni kutishana tishana tu
 

Aisee hii ni kweli, huki Tiktok wamejaa tele na wanatoa hadi tips
 
Bufa CANADA NA USA wapi kutamu kwa mtafutaji ??

Thousands of Canadians migrate to the U.S. annually to enhance their lifestyle and escape the extreme cold. According to Statista, 45,000 Canadians emigrated to the USA in 2021-2022

Over 10,000 U.S. residents immigrated north through Canada’s Express Entry system.

Nadhani utapata jibu hapo uone watu wa nchi gani wanamove kwenda nyingine zaidi. Siku zote watu wanafuata green pastures kama ambvyo wasomali wanakimbilia TZ au Kenya na sio wtz kwenda Somalia
 
Kwa hiyo wanaona bora kuwa omba omba kuliko kufanya kazi?

Wanatakiwa kuacha kudeka na kuacha utoto hao majamaa.
 
Msaada ni hisani sio haki. Fellow tanzanians need to understand it clearly. Yaani bila aibu unamlalamikia mtu kwa kutokutoa msaada as if ni haki yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…