Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Tuwatambuwe na wale wadada wenye ndoto zao za kuolewa na ngozi nyeupe😉 kama njia moja wapo wa kupata nafasi ya kwenda majuu.
Ndugu mleta uzi naomba kuwasilisha🙏
awa wazungu waoneni ivyo ivyo awatupendi waafrika wazungu wana ubaguzi wa kisiri siri, ukiwaona huku utazani watu vile amini nakuambia hakuna wanaoteseka na maisha kama ngozi nyeusi iliyothubutu kuoa au kuolewa na mzungu, hawa watu wakifikaga kwao huwa wanabadilika sana. kama unabisha muulize mange kimambi.
 
Hahaha aisee
 
Tulia wewe, katoa info zote, tumia unazohitaji ,nyingine waachie wengine, sio kila mtu anataka kwenda US
 
Kila mtu ana experience yake, wengi wameolewa na kuoa wazungu na wameishi vizuri tuu, ubaguzi upo lakini sio kila mzungu mbaguzi
 
Hapo mwenyewe unajiona smart una exposure kuuubwa???!!!😅😅😅
 
CA baridi na tax iko juu
 
Kwamba Mange Kimambi ndo SI unit ya nchi nzima?
 

Mkuu umemaliza kila kitu.

Bongo watu hadi leo hawajengi maisha yao ya uzeeni wakiamini watoto ndo retirement plan zao. Kwa mentality hii utegemezi hauwezi kuisha na watu hawawezi kuendelea.
 
Dah kama vile kuna ukweli, ila mbona wengine kama wana enjoy?
Uongo mbaya hata mwafrika hawezi mvumilia mange amini nakuambia.
 
Na ona umetoa sababu ya kimazingira mkuu
 
Baada ya ishu ya corona, SAsa hivi ndio uchumi wa Dunia ndio unaanza kutengemaa, achana na kupoteza mda kutembeza bahasha ukitegemea kuokota kazi. Uza Shamba wahi nje Kazi za deiwaka zimejaa. Huku ukitazama jinsi ya kupata Kazi ya uhakika
 

Mara nyingi unakuta wanatumia account moja na mke wake. Ngumu sana kujenga nyumbani
 
Sio lazima hata ule kazi,me nina mwana yupo Qatar ni mlinzi wa supermarket ye ni Mkenya alisoma fresh tu ila akaingia kule kama mtu alyeishia sec,kapiga kaz ukua anatafta michongo kupitia elimu yake now kaajiriwa anakula hela fresh tu kaoa uku tz kwetu,aliwahi niunganisha nikauze supermarket alyokua analinda nkazinguaga daah now nakomaa na jua la bongo
 
Kosa kubwa mwafrika alilofanya ni kudai UHURU kujiongozwa tumeproof failure.
Chek ni ajira ngapi zilipatikana kwenye mashamba makubwa ( estates) za mazao mbalimbali, viwandani,nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…