Kama una nia ya kufunga ndoa tafadhali usizae nje ya ndoa

Kama una nia ya kufunga ndoa tafadhali usizae nje ya ndoa

Malalamiko kuhusu taasisi ya ndoa yamekua mengi mno aisee....kwa nini msitulie tu.....kuoa au kuolewa ni kuyaoga....ukiweza jimwagie ukishindwa mwaga maji chini.......Mungu aingilie kati hiz ndoa aisee[emoji119]
Nnachokupendea,
single but positive na tasnia ya ndoa[emoji106]
 
Furaha huwa ni pale me anapoambiwa "nina mimba yako" nae kwa furaha na kujiona kidume atajibu "usijari nitalea"...

Wakati wa mimba mpaka mtoto akizaliwa mara nyingi huwa ni raha. Changamoto ni mtoto akianza kukua na kujitambua, anajikuta ana mababa wawili au zaidi, ndgu kibao wa ubabani.
Mpaka anakuja kuelewa yeye ni mtoto wa nje ni akishajitambua kabisa.
Wengine huanza kuleta zengwe kwa mzee na familia yake.
 
Tunajidanganya eti kila mtoto anakuja na 'riziki yake',

wakati wazazi ndio wenye jukumu la kutafuta hiyo riziki ili kuwalea hao watoto.
Tumekomaa kusema watoto huwa wanakuja na Baraka, wakati matunzo mtoto hapewi..😐
 
Furaha huwa ni pale me anapoambiwa "nina mimba yako" nae kwa furaha na kujiona kidume atajibu "usijari nitalea"...

Wakati wa mimba mpaka mtoto akizaliwa mara nyingi huwa ni raha. Changamoto ni mtoto akianza kukua na kujitambua, anajikuta ana mababa wawili au zaidi, ndgu kibao wa ubabani.
Mpaka anakuja kuelewa yeye ni mtoto wa nje ni akishajitambua kabisa.
Wengine huanza kuleta zengwe kwa mzee na familia yake.
Hii hutokea pale, mzazi ( anapo kuwa na Kipato cha kati, kila mtoto atatamani yeye ndiye Msimamizi mkuu)
 
Back
Top Bottom