Kama una nia ya kufunga ndoa tafadhali usizae nje ya ndoa

Kama una nia ya kufunga ndoa tafadhali usizae nje ya ndoa

Hapana mkuu, watoto ukizaa sehemu tofauti tofauti hupandikizwa chuki na wazazi wao, kila mtoto atataka kuwa bora kuliko wengine.
Wanyama hawamo kwenye dhambi ya binadamu, ulishaona dume lina jike moja, ndo maana nakwambia nature aliyoweka Mungu haisrmi hivo. Mwanaumr zaaa hata watoto 100 au 200 hakuna mtoto atakufs na njaaa, cha msingi uweze kuwamudu hao wanawake, wawe na sehem nzuri ya kuishi, uweze kuwahudumia kwa chakula na ngono. Vingine mnasaidiana kama taasisi
 
Back
Top Bottom