Wanyama hawamo kwenye dhambi ya binadamu, ulishaona dume lina jike moja, ndo maana nakwambia nature aliyoweka Mungu haisrmi hivo. Mwanaumr zaaa hata watoto 100 au 200 hakuna mtoto atakufs na njaaa, cha msingi uweze kuwamudu hao wanawake, wawe na sehem nzuri ya kuishi, uweze kuwahudumia kwa chakula na ngono. Vingine mnasaidiana kama taasisi