Kama una shida ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui

Kama una shida ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui

Mimi ni kkkt nakuhakikishia Asilimia kubwa ya kkkt kumsaidia mtu asiyemjua ni ngumu ule upendo wa agape hawana na wengine ni viongozi kabisa
hivi mtu anayekuomba nauli anaweza akawa tapel
Sawa mkuu ila ukuaji wa kiroho ni muhimu ni vyema upate ambapo pana hali unazo pendezwa nazo ili uweze kuabudu pamoja nao.
 
Mbona mi mwenyewe niliwahishuhudia Muislam akipewa msaada wa fedha za matibabu toka kwa Wakristo na Wapagani Muhitaji akiumwa mguu kwa majirani hadi alishukuru akisema amesaidiwa sana sana makanisani na mitaani kuliko misikitini?

Mbona sikujumuisha Waislamu wote si watoaji misaada tokana na yule Muhanga mmoja tu?

Ondokeni kwenye utumwa wa akili za dini za Wakristo na Waislamu, pevukeni kimaarifa kuleta zaidi amani na upendo katika jamii.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Tunaanglia wingi wa natendo mazuri,,,Bwana Joseph alinikamata Kwa kosa la kuendesha pkpk yangu bila kofia akapika makosa SI chini ya Tano huku akinitukana, alivyobipeleka kituoni nikamkuta afande Mudi akanitonya na kuninasihi nilipe Moja tu niondoke chap...

Hata ukienda jera askari magereza waislamu wapo fair kuliko hao Wala kitimoto
 
Ndo maana europe makanisa hayana watu sitakaa nimsahau yule mlinzi hivi unamfokeaje mtu mwenye shida
Nilijiuliza utu uko wapi
Tokea siku hiyo nikasema sitakaa nikanyage kanisani mpaka sahivi sina dini tena
Umezunguka sana kumbe lengo lako ni kutetea upagani, mbona wenzako kina Kiranga wapo wazi hawajifichi?
 
Ila waislam bwana, naona sijui ndo dini yao

Maeneo ya mjini wakiona jeneza linapita unasikia " ngoja tukapate dhawabu" apo anaunga tela
Sio kuunga tela.
Elewa kifo ni mazingatio na kila mtu atakufa logic ni hiyo.
Pia ni heshima Kwa uumbaji ,ktk Islam likipita jeneza la mkristo ni sharti usimame lipite na ukiona la mwislam fuata kazike ndugu Yako ktk imani ni sunna ,kama hakuto iktilafiana na mambo Yako mengine yenye umuhimu zaidi.
 
Kama huna nauli sio umfokee mtu na kuanza kumdharau na kudhalilisha utu wake mwambie tu sina kwani unapungukiwa na nini

Hakuna namna Mungu anatufundisha kwamba mtu akija na shida uanze kumfokea na kudhalilisha utu wake mbele za watu
Juzi nilinunuwa matairi Lumumba kuna mama anaomba pesa akasaidiwa, masaa mawili baadaye nikamuona tena Magomeni nilipokuwa nafix zile tajiri mpya kwenye filling station anaendelea kuomba pesa, kumbe ndio ofisi yake.

Siyo kila mtu ambaye hatoi msaada ukadhani ana roho Mbaya.

Think twice.
 
Uislamu ndio dini ya haki hutaki kufa,lkn ukweli utabaki hivyo.
Kwa taarifa yako dini haikupeleki popote, jifunze kuishi na Watu wa aina yoyote duniani uinjoy matunda ya upendo kivitendo.

Imani ni matendo ya Mtu binafsi wala si dini, ndiyomaana unaona kila siku kashfa za viongozi wa dini mbali mbali katika jamii wakiwa na kashfa za ubakaji, uzinzi, ulawiti, uchawi, ushoga, husda, dhulma, wizi, visasi na mauaji ilihali maandiko ya dini hayaruhusu kabisa hayo maovu.

Afu we ni nani haswa hadi kujiona una ubora na wema kuliko Watu wote duniani?

Ni heri kukosa mali kuliko kukosa hekima.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Juzi nilinunuwa matairi Lumumba kuna mama anaomba pesa akasaidiwa, masaa mawili baadaye nikamuona tena Magomeni nilipokuwa nafix zile tajiri mpya kwenye filling station anaendelea kuomba pesa, kumbe ndio ofisi yake.

Siyo kila mtu ambaye hatoi msaada ukadhani ana roho Mbaya.

Think twice.
Sion kosa la huyo mama kwa sababu haibiii japokua simtetei
 
Mtoa mada ana shida kubwa Zaidi ya nauli....!

Anaweza kusaidika iwapo tu ...atajitambua.
Inaonekana kisaikolojia hayupo sawa
 
Nachelea kukuita mjinga.

Hiyo shida yako uliiandika kwenye paji la uso? Kwamba kila atakae kuona ajue una shida?

Hii mentality ya kulaumu watu kwa shida zako mwenyewe ni mbya mno, kila mtu atakaekutreat kwa mtazamo tofauti na wako unahisi kubaguliwa.

Mlinzi ni muumini wa hapo kanisan?? Umeingia kinyemela bila kufata taratibu unaambiwa unahisi unaonewa.

Ulijaribu kwenda kanisa jingine au hapo ukahitimisha kua kkkt wote ni wabaya??

Huyo mama ulimpekua mfukoni ukamkuta na nauli?? Si ajabu yeye ana majanga zaidi yako.

Kuna ndgu yangu ni mfanyakazi wa benki, ni nadhifu mno. Lakini akikwambia hana mia huwezi kuamini, lakini kwa sisi wa karibu yake, tunaojua anayopitia tunaelewa hicho kitu
 
Juzi nilinunuwa matairi Lumumba kuna mama anaomba pesa akasaidiwa, masaa mawili baadaye nikamuona tena Magomeni nilipokuwa nafix zile tajiri mpya kwenye filling station anaendelea kuomba pesa, kumbe ndio ofisi yake.

Siyo kila mtu ambaye hatoi msaada ukadhani ana roho Mbaya.

Think twice.
Islam inasema kutoa hakumfilisi mtu.
Sharti utoe Kwa ajili ya Muumba na pia sio kutoa kujionyesha au kuita press .
Faida kibao ktk kutoa.
 
Kama huna akili kichwani unategemea utaliona vipi kosa?
Mkuu umenidharau sana alafu hata hunijui yaani usipende kudharau mtu usiyemjua mfano bill gates anasema kuna kipindi alikuwa anashindwa hadi kununua gazeti point sio kujifananisha na bill gates hapana
Na shida isikie kwa mwenzako ni rais sana kuona maskini wote ni wajinga, wavivu na hawana akili

Kama una maisha mazuri mshukuru sana Mungu na sisi wote ni wapitaji hapa dunian

Na kwenye hii lazima kuwe na kila aina ya watu
 
Nachelea kukuita mjinga.

Hiyo shida yako uliiandika kwenye paji la uso? Kwamba kila atakae kuona ajue una shida?

Hii mentality ya kulaumu watu kwa shida zako mwenyewe ni mbya mno, kila mtu atakaekutreat kwa mtazamo tofauti na wako unahisi kubaguliwa.

Mlinzi ni muumini wa hapo kanisan?? Umeingia kinyemela bila kufata taratibu unaambiwa unahisi unaonewa.

Ulijaribu kwenda kanisa jingine au hapo ukahitimisha kua kkkt wote ni wabaya??

Huyo mama ulimpekua mfukoni ukamkuta na nauli?? Si ajabu yeye ana majanga zaidi yako.

Kuna ndgu yangu ni mfanyakazi wa benki, ni nadhifu mno. Lakini akikwambia hana mia huwezi kuamini, lakini kwa sisi wa karibu yake, tunaojua anayopitia tunaelewa hicho kitu
Mimi nilishangaa kwa kufokewa kwa mimi kuomba msaada kama kwako wewe mtu kuomba msaada unamfokea ni sawa basi una moyo wa kipekee

Bro shida ni sehemu ya maisha ya mwanadamu unaweza ukawa una hela lakin unashida ya magonjwa
Na mtu kukuomba shida sio kosa

Mkuu mimi baba yangu mpaka leo ni mzee wa kkkt tokea miaka ya 1970's na mimi ni muumin wa kanisa la kkkt mpaka leo ni ngumu sana kukusaidia kama hawakujui
 
Mkuu sio huko hata huku kwa waislam nako mambo hamkani, nimeshawahi kutolewa nje ya chumba cha mtihani na msimamizi wa mtihani kisa sijalipa ada, huyo msimamizi pia ndio imam wa msikiti wa chuo na somo lilikuwa ni Islamic Theology, hao ndio wanaotuambia kuwa muislam ndugu yake muislam lakini wenyewe tunafanyiana roho mbaya.
 
Msaada unapatikana kwa wepesi msikitini.

Mimi sio muislam na huwa naponda sana vitu vingi vya uislamu.

Ila kwenye mambo ya utu wa wa waumini wake hapa Tanzania uislamu unaongoza. Kwenye kukusikiliza shida yako na kukusaidia wapo vizuri sana.

Hata kama mgeni ana tatizo akienda msikitini rahisi kusikilizwa na kusaidiwa kuliko akienda kanisani.

Waislam ni wajamaa na wakristo ni mabepari.. hata huduma za kanisani wenye hela wanapata upendeleo kila sehemu

Kanisa halimsikilizi mtu lisiemjua.. hata kumzika tu mkristo mwenzao ishu wanatazama mahudhurio yake na utoaji wake wa sadaka
Fact
 
Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema ngoja niende kanisa la lutheran lililopo karibu na ITV linaitwa usharika wa Mwenge.

Nikaingia pale ila sikumuona mlinzi nikamuona mmama upande wa kushoto nikamfuata kumbe kule ndo kuna ofisi za mchungaji nikamfuata akaniambia mchungaji.

Tukaongea wewe baada ya mazungumzo to be honest nilikua sina hata mia mfukoni akampigia mlinzi kwa pembeni akaongea nae baada ya muda akaniambia nimfuate mlinzi yaani yule nilimuomba tu nauli nilikua nimebanwa ila hakunisaidia japokua anafanya kazi kwenye ofisi ya mchungaji to be honest ana roho ngumu sana.

Nilipomfuata mlinzi akaanza nifokea nikamuomba samahani kwa kuingia bila kumjulisha eeh bwana akaendelea kunifokea tena kwa sauti nikamwambia hata kama nina shida usidhalilishe utu wangu nikaondoka.

Nilichojifunza ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui yaani makanisa yao sio nyumba ya Mungu anymore.

Baraka za Mungu zipo katika maeneo madogo madogo na usiyoyatarajia mfano anaweza akaja mtu smart akakuambia hana hela ya kula wewe utambeza na hutampa ila ndo umesakosa baraka za Mungu hivyo
Acha bangi kijana!
 
Mbona mi mwenyewe niliwahishuhudia Muislam akipewa msaada wa fedha za matibabu toka kwa Wakristo na Wapagani Muhitaji akiumwa mguu kwa majirani hadi alishukuru akisema amesaidiwa sana sana makanisani na mitaani kuliko misikitini?

Mbona sikujumuisha Waislamu wote si watoaji misaada tokana na yule Muhanga mmoja tu?

Ondokeni kwenye utumwa wa akili za dini za Wakristo na Waislamu, pevukeni kimaarifa kuleta zaidi amani na upendo katika jamii.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Waambie hawa mbuzi
 
Back
Top Bottom