Kama una shida ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui

Mojawapo ya wajibu wa Muislam kwa muislam mwenzie ni kumzika pale anapofariki. Hivyo unapomuona muislam anashiriki kwenye mazishi ya mtu asiyemjua basi ujue anatimiza wajibu wake kama muislam
Na ukimuona asiyekuwa muislam anamzika asiyemjua huyu tunamuitaje?
 
Nilipomfuata mlinzi akaanza nifokea nikamuomba samahani kwa kuingia bila kumjulisha eeh bwana akaendelea kunifokea tena kwa sauti nikamwambia hata kama nina shida usidhalilishe utu wangu nikaondoka.
Huenda walidhani ni Alkaeda umeenda ku survey sehemu ya kuchoma, anyway siku nyingine wapime imani kwa kuwaomba msaada mwishoni waambie nimekuja kuleta fungu la kumi uone U turn yao ilivyo sharp
 
Matapeli wamekuwa wengi mjini kwa kujifanya wana shida kumbe wanakusanta mapato na ndio kazi yao asubuhi hadi jioni.

Sasa from no where hakuna anayekuamini.
 
Sawa inaongozwa kitaasisi
kkkt wanamsaada gani kwa waumini wake zaidi ya kuwahimiza kutoa sadaka huku wakiushi kama peponi usiniambie hospitali sababu tukienda huko tunalipia hela
 
Huenda walidhani ni Alkaeda umeenda ku survey sehemu ya kuchoma, anyway siku nyingine wapime imani kwa kuwaomba msaada mwishoni waambie nimekuja kuleta fungu la kumi uone U turn yao ilivyo sharp
Ningesema nimeenda kutoa sadaka na maombi ningefanyiwa
 
Matapeli wamekuwa wengi mjini kwa kujifanya wana shida kumbe wanakusanta mapato na ndio kazi yao asubuhi hadi jioni.

Sasa from no where hakuna anayekuamini.
Ningesema nina milion hapa nataka nitoe kama sadaka nisingeitwa tapeli
 
Ukiitwa John ndiyo haraka sana unasaidiwa ili uone hawa ni wema ngoja niungane nao ila akiitwa Abdalah lazima maelezo ayatoe kama alivyofanya mleta mada.

Na siku ya kwanza kuungana nao kiimani huwa wanakuwa excited sana wanatoa mchango mzuri unaweza kuondoka na 400K yupo Mmalawi mmoja alipiga sana hela Misikiti ya Kariakoo siku walipomstukia pale masjid idrisa ilibaki nusu wamgawane bahati yake ilikuwa karibu na police post pale Msimbazi.
 
Tunapenda dini zetu sana kuliko kumpenda MWENYEZI MUNGU. Tuna dini ila bado ni wachawi, wala rushwa, wazinzi, wafiraji, makahaba, majambazi. Dini haijawahi kumsaidia mtu.
 
Sawa inaongozwa kitaasisi
kkkt wanamsaada gani kwa waumini wake zaidi ya kuwahimiza kutoa sadaka huku wakiushi kama peponi usiniambie hospitali sababu tukienda huko tunalipia hela
Mbona mnachanganya mada...Hospitali,Shule zinaendeshwa kibiashara..sio charity nioneshe Hospitali ya Taasisi inayojiendesha kicharity ..labda ungehoji je ninhalal Kanisa kuwa na Biashara?!
 
Tunapenda dini zetu sana kuliko kumpenda MWENYEZI MUNGU. Tuna dini ila bado ni wachawi, wala rushwa, wazinzi, wafiraji, makahaba, majambazi. Dini haijawahi kumsaidia mtu.
Kabisa
 
Sawa inaongozwa kitaasisi
kkkt wanamsaada gani kwa waumini wake zaidi ya kuwahimiza kutoa sadaka huku wakiushi kama peponi usiniambie hospitali sababu tukienda huko tunalipia hela
Ukitaka utibiwe bure
 
Uko sahihi kabisa
 
Kuna namna flani nakubaliana na wewe hata kama nawakosoa sana Waislam

Baadhi ya Makanisa wameshasahau matendo yao ya zamani na kusudi la kanisa

Kuna Muislam alinitendea wema mkubwa sana mwaka 2011 namimi nikaja kumtendea fadhila ya ajira kwa mwanae 2017

Wema hauozi

Sadick wa Kinondoni Mungu wa mbinguni akubariki

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Kuna matukio yanatokea halafu wewe binafsi ndio shida.. ungeomba kwanza usaliwe zen uombe msaada.

Tukumbuke binadamu anaweza kuwa na kitu kinachomzuia mwenyewe kupata mengi..
 
Hata mimi nakubali kuwa wapo waislam wengi wanaojali Utu na hata mimi nilishasaidiwa sana na Jamaa mmoja na sasa tunasaidiana bila kujali dini zetu

Lakini unapoanza kukunja kanzu na kujifunua kuacha kundu nje hapo unapoita wala kitimoto

Unaanza kashfa ambazo zitakuponza muda c mrefu...matusi tunayajua

Sawa Sheikh...?

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…