tanga raha
New Member
- May 21, 2017
- 4
- 5
Kuna jamaa alikuwa akisisitizwa sana kuoa [emoji132] baba yake alimtafutia wake zaidi ya wa nne yeye anasema amamchumba wake tena kwa msisitizo
Masiku yakaenda kuna siku baba anakwenda chooni anamsikia mwanae akilalamika ohoooo baba ananotafutia wachumba kila siku mi siwataki nataka nikuoe wewe na sitakuacha hata waseme nini.
Baba si ndio akaona kweli mwanae yale aliyokuwa anasema ni ya kweli leo kaja na mwanamke wake ndani tena wako chooni wanaoga.
Baba akapigia simu masheikh waje haraka nyumbani kwake waje wapige ya mkeka
Kwa vile walikuwa majirani tu chap wakawa wamefika . Sindio wakavunja mlango wakamkuta ameshikilia sababuni.
Baba kwa hasira akawaambia masheikh muozesheni hiyo hiyo sabani. Masheikh wakafanya yao[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Niko njiani napelekwa mirembe nahisi ndiko honeymoon ya jamaa inapofanyia