Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kuna jamaa alikuwa akisisitizwa sana kuoa [emoji132] baba yake alimtafutia wake zaidi ya wa nne yeye anasema amamchumba wake tena kwa msisitizo
Masiku yakaenda kuna siku baba anakwenda chooni anamsikia mwanae akilalamika ohoooo baba ananotafutia wachumba kila siku mi siwataki nataka nikuoe wewe na sitakuacha hata waseme nini.
Baba si ndio akaona kweli mwanae yale aliyokuwa anasema ni ya kweli leo kaja na mwanamke wake ndani tena wako chooni wanaoga.
Baba akapigia simu masheikh waje haraka nyumbani kwake waje wapige ya mkeka
Kwa vile walikuwa majirani tu chap wakawa wamefika . Sindio wakavunja mlango wakamkuta ameshikilia sababuni.
Baba kwa hasira akawaambia masheikh muozesheni hiyo hiyo sabani. Masheikh wakafanya yao[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Niko njiani napelekwa mirembe nahisi ndiko honeymoon ya jamaa inapofanyia
 
Hahahaah salamu zao huko Milembe
 
Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni
kuna
dada mrembo kakaa.
Kamlia timing kwa muda kisha akamuuliza:-
"Samahani dada unaitwa Google?".
Dada: "Hapana, kwanini umedhani naitwa hivyo?".
Jamaa: "Una kila kitu nnachokitafuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo bana kanisani Mchungaji kasema anayetaka kuombewa ili biashara yake ikue apate wateja wengi asimame. Kuna Muuza MAJENEZA amesimama wa kwanza.. Naona Mchungaji kaahirisha maombi kasema kesho na kila mtu aende na sadaka au bidhaa anayouza.
 
Story hii ina funza......
Mtoto mmoja wa miaka iliyokadiriwa kufikia
kama miaka kumi hivi, alikuwa anakula embe
mara akakuta FUNZA....alichofanya aliacha
kulila akaenda kunawa
Nimekwambia story ina FUNZA....... nadhan umemuona.. Akili yang naijua mwenyew
 
Mgosi ataka haribu siku yangu hapaa kwa final UEFA

Et madrid wanashambuliwa anaongea ,
Hawa Madrid wangekuwa na wachezaji wawili kama yule wa kati "akimaanisha Luka mondi" watawafunga hawa Barcelona

Daaah , nkataka Cheka ila nkachuna

Baada ya muda akanifinya sikio , et broo atakaeshinda hapa anachukua kikombee

Daaah imebidi nihame sitiii

Maana nkahis kinachofata , ntaambiwa , hivi stars walitolewaa?
 
*Nikiwa nimechoka najiamulia tu kupiga simu police:*
*Mimi:* Hello afande nipo hapa naona watu kibao wamekufa...

*Afande:* Kiongozi tuambie mahali ulipo tuje sasa hivi...
*Mimi:*Nipo hapa makaburini...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadau nashukuru sana kwa maombi yenu na msaada wenu wa hali na mali

Nimefanikiwa kupata mchumba

Natarajia kuingia wiki hii ofcoz mchumba una madirisha makubwa na mlango mzuri shukran ziende kwa dalali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…