Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*MITOMINGI*; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo

*MAMA_MAZOEA*; Basi fanya haraka (Mazoea anatoka, anaenda kwa Ngoswe alipo).

*MAZOEA*; Hodi! Hodi!

*NGOSWE*; Karibu

*MAZOEA*; (Akiingia). Ahsante. Nimekuja kuchukua vyombo.

*NGOSWE*; Vyombo! Kaa basi mbona unasimama kama vile hakuna viti.

*MAZOEA*; Nimeambiwa nifanye haraka.

*NGOSWE*; Mmm! Haya ngoja ninawe basi (Ngoswe ananawa kwa taratibu jicho likiwa usoni mwa Mazoea ambaye anatazama kando). Hivo mzima wee?

*MAZOEA*; Bee?

*NGOSWE*; Salama?

*MAZOEA*; Salama tu.

*NGOSWE*; Sasa ndio umekataa kukaa?

*MAZOEA*; (Ajidai hakusikia) Si umekwisha maliza?

*NGOSWE*; Bado kidogo.

*MAZOEA*; Basi nitakuja chukua baadaye. (Ataka kutoka)

*NGOSWE*; Basi nenda navyo. (Mazoea anarudi kuinama kuvichukua. (Ngoswe kwa sauti ndogo). Hivyo waitwa nani?

*MAZOEA*; Mie?

*NGOSWE*; Ndio wewe hapo kisura.

*MAZOEA*; (anatabasamu huku akiondoka). Mazoea!i

Story ni tamu ila tulishaambiwa ya Ngoswe tumuachie Ngoswe! ! !

[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Nawewe umeanza kutumia lijani...[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji40] [emoji14]
 
Dereva wa bodaboda aina ya boxer kajigonga na kick wakati anaiwasha[emoji38] [emoji38] [emoji38] abiria akamwambia "Ukisikia kick boxer ndio hiyo"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
*������[emoji125][emoji125][emoji85][emoji85][emoji87][emoji87][emoji12][emoji12]*

```Pale leo usiku utakapotaka ku charge simu ukiwa kwenye ukumbi wa mpira na kwa bahati mbaya ukakosea ukachomoa waya waya wa DSTV ili uweke charger yako na wakati huo ndo Madrid na Juventus wanapigiana penalties [emoji460]��[emoji15][emoji15]. Hapo ndo utaelewa kwa nini mamako alikuwa anapenda kukwambia "SMARTPHONE YAKO HIO ITAKUJA KUKUUA" ```

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bangi sio majani ya kunde ujue…?!!
 
MWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA
Jamaa mmoja toka kiboriloni alienda Benki na kuomba mkopo wa shilingi 200,000 ili asafiri kwenda Dar. Ofisa mikopo akamwambia lazima ajaze fomu fulani na awe na kitu cha kuweka dhamana. Mdau akajaza fomu kisha akakabidhi funguo za benzi yake aliyokuja nayo pamoja na nyaraka za umiliki wake kwa meneja. Ofisa mikopo akaiingiza gari kwenye yadi ya benki na kumpa mchagga laki mbili yake. Kilichomshangaza meneja wa benki ni kuwa benzi ile ina thamani ya 255,000,000 na kuwa iweje mwenye gari kama hii amekosa 200,000. Baada ya wiki 2 mchagga akarudi na kurejesha mkopo wote pamoja na riba ya shilingi 15,000. Afisa mikopo akafurahi lakini akamuuliza, inawezekanaje una gari la thamani hivi na ukaangaika kupata mkopo wa shilingi laki 2? Mchagga akamjibu, Ni wapi hapa Moshi utapata mahali salama kupaki gari yako kwa wiki mbili kwa kodi ya shilingi 15,000 tu?

Wachaga wana akili nyingi asikuambie mtu...!!!
 
Hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…