Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Huu mwaka noma. Balaa zaidi ni pale benki watakapo anza promosheni kwenye ATM zao kwamba INGIZA UINGIZIWE
Ujue me mpaka sahii si elewi tuta ishi vipi kama chakula nacho kiki ungana na 2017 bundle KULA ULIWE sijui kama ndio tuta acha kula au Teena ndio vileee[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani aliye weka uhai kwa bangi aondoe harakaaa.
Uingizwe wapi
 
Mama kasema : mimi inapoingia mwanzo hupata taabu,ikisha nazowea.
Mtoto mkubwa : mimi mpaka ifike nusu ndiyo naanza kuona ok.
Mtoto wa mwisho : mie hata yote kamili si hisi kitu
Bibi : kasikiliza kisha kasema mie yaingie na makende yote sihisi kitu.
Mjukuu akamjibu bibi yake : Mwenyezi Mungu akusamehe bibi, sie tunazungumzia Ramadhani......
 
Kyekye kye kye kekeee.. Bibi noma sana, maini bado hayajazeeka
 

Asee anaekula huu ugali ana moyo, [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si bora angesubiria kipindi cha mapishi ITV[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 

Hii hata uninunulie[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Asee SINYWI[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Watu wengine wajinga sana,

Jana nimekaa na jamaa seat jirani kwenye basi tokea tunaanza safari kutoka Dar ubungo terminal tunaenda Morogoro

Jamaa ananunua vitu anakula hanikaribishi hapo tupo kibaha akanunua korosho hata kusema karibu Hakuna, ,
tulipofika Chalinze akaenda kununua nyama choma, mara mahindi ya kuchemsha ,
mara ndizi za kuiva , karanga mara hiki mara kile na anashushia tu juice na maji mwenyewe haniulizagi kitu wala kusema karibu. Mimi nipo zangu tu nasoma magezeti na kuchat ktk mitandao ya kijamii, ...

Tumefika Mikese nimetoa power bank yangu nataka kuchaji simu,, kumbe naye simu yake imezima charge.
eti ndio akaniuliza hiyo ni power bank??

mimi nikamjibu hapana ni embe dodo.

Hakunisemesha tena mpaka tumefika tumefika Morogoro .

Tumeshuka Morogoro msamvu stand terminal tumeshuka wote kumbe naye anaelekea Mazimbu akaniuliza tena kumbe tupo safari moja ya Mazimbu ??
nikamjibu hapana hatupo pamoja mi naelekea Gongolamboto ...

Hakunisemesha tena..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
You guys are killing me[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
STORI YA KUTISHA.[emoji83] [emoji83]

Siku moja mume na mke baada ya kuishi miaka mingi bila yakupata mtoto
Hatimae Wakaamua kuchkua uamuzi wa kwenda kwa mganga..

Itaendelea wakirudi...[emoji12] [emoji12]
Maana nimewaacha wanapanda baiskeli yao kuelekea huko
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
*Nilipokuwa 4m 3 niliambiwa NECTA ya 4m 4 ikitungwa na wanachuo inakuwa ngumu [emoji13][emoji13]sasa namaliza [emoji124][emoji124]chuo sijawahitunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au wenzangu mmewahi kutunga NECTA [emoji13][emoji13]naomba majibu*
 
MWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA
Jamaa mmoja toka kiboriloni alienda Benki na kuomba mkopo wa shilingi 200,000 ili asafiri kwenda Dar. Ofisa mikopo akamwambia lazima ajaze fomu fulani na awe na kitu cha kuweka dhamana. Mdau akajaza fomu kisha akakabidhi funguo za benzi yake aliyokuja nayo pamoja na nyaraka za umiliki wake kwa meneja. Ofisa mikopo akaiingiza gari kwenye yadi ya benki na kumpa mchagga laki mbili yake. Kilichomshangaza meneja wa benki ni kuwa benzi ile ina thamani ya Milioni 255,000,000 na kuwa iweje mwenye gari kama hii amekosa 200,000. Baada ya wiki 2 mchagga akarudi na kurejesha mkopo wote pamoja na riba ya shilingi 15,000. Afisa mikopo akafurahi lakini akamuuliza, inawezekanaje una gari la thamani hivi na ukaangaika kupata mkopo wa shilingi laki 2? Mchagga akamjibu, Ni wapi hapa Moshi utapata mahali salama kupaki gari yako kwa wiki mbili kwa kodi ya shilingi 15,000 tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…