Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

MWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA
Jamaa mmoja toka kiboriloni alienda Benki na kuomba mkopo wa shilingi 200,000 ili asafiri kwenda Dar. Ofisa mikopo akamwambia lazima ajaze fomu fulani na awe na kitu cha kuweka dhamana. Mdau akajaza fomu kisha akakabidhi funguo za benzi yake aliyokuja nayo pamoja na nyaraka za umiliki wake kwa meneja. Ofisa mikopo akaiingiza gari kwenye yadi ya benki na kumpa mchagga laki mbili yake. Kilichomshangaza meneja wa benki ni kuwa benzi ile ina thamani ya Milioni 255,000,000 na kuwa iweje mwenye gari kama hii amekosa 200,000. Baada ya wiki 2 mchagga akarudi na kurejesha mkopo wote pamoja na riba ya shilingi 15,000. Afisa mikopo akafurahi lakini akamuuliza, inawezekanaje una gari la thamani hivi na ukaangaika kupata mkopo wa shilingi laki 2? Mchagga akamjibu, Ni wapi hapa Moshi utapata mahali salama kupaki gari yako kwa wiki mbili kwa kodi ya shilingi 15,000 tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watu wengine wajinga sana,

Jana nimekaa na jamaa seat jirani kwenye basi tokea tunaanza safari kutoka Dar ubungo terminal tunaenda Morogoro

Jamaa ananunua vitu anakula hanikaribishi hapo tupo kibaha akanunua korosho hata kusema karibu Hakuna, ,
tulipofika Chalinze akaenda kununua nyama choma, mara mahindi ya kuchemsha ,
mara ndizi za kuiva , karanga mara hiki mara kile na anashushia tu juice na maji mwenyewe haniulizagi kitu wala kusema karibu. Mimi nipo zangu tu nasoma magezeti na kuchat ktk mitandao ya kijamii, ...

Tumefika Mikese nimetoa power bank yangu nataka kuchaji simu,, kumbe naye simu yake imezima charge.
eti ndio akaniuliza hiyo ni power bank??

mimi nikamjibu hapana ni embe dodo.

Hakunisemesha tena mpaka tumefika tumefika Morogoro .

Tumeshuka Morogoro msamvu stand terminal tumeshuka wote kumbe naye anaelekea Mazimbu akaniuliza tena kumbe tupo safari moja ya Mazimbu ??
nikamjibu hapana hatupo pamoja mi naelekea Gongolamboto ...

Hakunisemesha tena..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
Mkuu mi niache ipoipo hapo[emoji23]
 
Wewe mkausha nyama wewe!! Mungu anakuona
tapatalk_1496777506390.jpeg
 
Nimesikia kuna wanafunzi wamegoma kufanya mitihani, kisa wamekuta lile swali la fill in the blanks "wanaogopa kujaza, eti watajazwa"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*yaani kipindi* *hiki kweli* *uchumi umekuwa* *mgumu maana* *hata wale* *wachawi waliokuwa* *wanatulisha vyakula* *ndotoni wamesitisha* *huduma* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

*Akili zangu* *zinanitosha mwenyewe*
 
Stress ni nini??

*Stress ni pale unapokuwa mwanachama wa ACT Wazalendo na leo unamuona mwenyekiti wako anakabidhiwa ilani ya CCM halafu hapo hapo ni shabiki wa SIMBA na jioni hii unashuhudia Ikitolewa kwenye mashindano na timu ya daraja la pililakini pia ni mhitimu wa Course ya ualimu wa masomo ya Sanaa*

My friend utatamani uzaliwe upya
 
Watu wengine wajinga sana,

Jana nimekaa na jamaa seat jirani kwenye basi tokea tunaanza safari kutoka Dar ubungo terminal tunaenda Morogoro

Jamaa ananunua vitu anakula hanikaribishi hapo tupo kibaha akanunua korosho hata kusema karibu Hakuna, ,
tulipofika Chalinze akaenda kununua nyama choma, mara mahindi ya kuchemsha ,
mara ndizi za kuiva , karanga mara hiki mara kile na anashushia tu juice na maji mwenyewe haniulizagi kitu wala kusema karibu. Mimi nipo zangu tu nasoma magezeti na kuchat ktk mitandao ya kijamii, ...

Tumefika Mikese nimetoa power bank yangu nataka kuchaji simu,, kumbe naye simu yake imezima charge.
eti ndio akaniuliza hiyo ni power bank??

mimi nikamjibu hapana ni embe dodo.

Hakunisemesha tena mpaka tumefika tumefika Morogoro .

Tumeshuka Morogoro msamvu stand terminal tumeshuka wote kumbe naye anaelekea Mazimbu akaniuliza tena kumbe tupo safari moja ya Mazimbu ??
nikamjibu hapana hatupo pamoja mi naelekea Gongolamboto ...

Hakunisemesha tena..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
Hahahaaaa,, una roho mbaya sana ww
 
Stress ni nini??

*Stress ni pale unapokuwa mwanachama wa ACT Wazalendo na leo unamuona mwenyekiti wako anakabidhiwa ilani ya CCM halafu hapo hapo ni shabiki wa SIMBA na jioni hii unashuhudia Ikitolewa kwenye mashindano na timu ya daraja la pililakini pia ni mhitimu wa Course ya ualimu wa masomo ya Sanaa*

My friend utatamani uzaliwe upya
hahahahaha ila sijaelewa mwalimu kozi ya sanaa wanakuaje
 
IVI MIAKA IJAYO NA SISI TUTAITWA WAHENGA.[emoji38][emoji38][emoji38]
utaskia wahenga walisema JAZA UJAZWE
ccfb9439eb7bafc06cad47dde5a57315.jpg

Hao wahenga aliyeweka jiwe kifuani ndiye aliyesema "Njaa mwana malegeza, shibe mwana malevya"
 
Mtoto wa kiume alikuwa anakoga na baba yake sasa mambo ya tiles haya na kitoto kitundu kinaruka ruka bafuni mara kikateleza sasa katika heka heka ya kujinusuru kisianguke kikajikuta kimeshika mpini wa baba yake so hakikuanguka basi mdingi kwa upole kakinyanyua na kukiambia "una bahati sana sijui ungekuwa unakoga na mama yako sijui ungeshika wapi?
 
Sifa za Mwanamme bora..
1. Hanywi Pombe
2. Havuti Sigara
3. Hachepuki
4. Mkweli
5. Mcha Mungu
6. Ana Hela
7. Handsome
8. Mpole
9. Anajua Mapenzi
10. HAYUPO DUNIANI.
Sisi wa Duniani tuvumiliane tuu..
Maana Vita ya Kumtafuta Mume Bora haijawahi kumuacha Mtu Salama....
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Pana dogo mmoja bush swaken huko umri wa kuoa umefika na kwao walikuwa na mifugo mingi tu lakini dingi anamuona dogo yupo yupo tu wala hachangamkii suala zima la kumeremeta.
Dingi :naona umri wa kuoa umefika mbona hachangamkii?
Dogo :aah kuhusu suala hilo lisikupe tabu mpaka jioni jibu nitakupa
Dingi:hapo sawa ndio maana nakuamini sana utakuwa umefuata tabia za babu yako yeye jambo hulimaliza mapema.
Jioni waqt dingi anaangalia mifugo kiza kimeisha wadia anamkuta dogo kajificha zizini
Dingi :vipi tena mbona huku ?
Dogo kimya halafu lile suala vipi tuliloongea asubuhi?
Dogo :aah lile suala nimekosa mtu wa kumuoa
Dingi :kwa huzuni akawa kama anajisemea peke yake sasa sijui tutafanyaje?
Dogo :lisikupe tabu tutafanya mipango hapa hapa nyumbani
Dingi :akakumbuka pale wana mabint kibao tu wakuja akajua dogo atachukua mmoja lakini akamuuliza sasa hapa utamuoa nani?
Dogo :je shangazi?
Dingi akawaka na kumpiga fimbo kama tatu za faster huku anasema "yaani umuoe dada yangu una akili kweli weye?
Dogo :huu ni uonezi wewe umemuoa mama sisi tumekaa kimya ila mimi kutaka kumuoa shangazi ndio unanipiga hivi!
Nb :WATCH OUT PART TWO.
 
[emoji24]Ukipata kama huyu[emoji24]

Mume: Hallo my queen...
Mke: Nambie my darling...
Mume:: Nimekumiss honey...
Mke:: Hatamimi nimekumiss ile mbayaaa..
Mume:: Samahani mke wangu leo sitaweza kurudi nyumbani nitakuja kesho asubuhi..
Mke:: Unasemaje? na uishie huko huko ......kalale kwa hao hawara zako.....mwanaume mmbaya wewe kama Sokwe ...sijui hata ni Shetani gani alinishawishi hadi nikaolewa na Sokwe kama wewe.... yaani najuta .....sikupendi kabisa toka ndani ya Moyo wangu....Sikupendi hata kidogo..... Naogopa hata watu kujua kuwa umenioa.....naona hata aibu..
Mume:: Punguza jazba mke wangu...niko Bank.....kunafoleni ndefu sana......
Mke:: Ahh!! pole sana darling.....nakuonea huruma handsome wakipekee....but baby...usisahau kuniletea pesa kidogo.....ninashida na laki 2....halafu kuna ile elfu 70 anayonidai mama Amina leo alikuja kunikumbusha....
Nimekuandalia maji ya moto sweetie ukijakuoga mume wangu kipenzi.....then ukumbuke kuniletea chips na kuku wa kuchoma gengeni...nimemiss sana....Nakupenda sana Mfalme wangu....
Mume:: Ni Bank ya kuchangia damu...
Mke:: Nawakutoe yote....bora ufe tu....hunafaida yoyote...nyoo..potelea mbali ......mijitu mingine bhana!!!!

[emoji24][emoji115][emoji15][emoji115][emoji15][emoji115][emoji15][emoji24][emoji115][emoji15]
Wanaume wana shida jamani,,,
 
Wanaume tumeumbwa mateso, kuhangaika.
 
Mtoto wa kiume alikuwa anakoga na baba yake sasa mambo ya tiles haya na kitoto kitundu kinaruka ruka bafuni mara kikateleza sasa katika heka heka ya kujinusuru kisianguke kikajikuta kimeshika mpini wa baba yake so hakikuanguka basi mdingi kwa upole kakinyanyua na kukiambia "una bahati sana sijui ungekuwa unakoga na mama yako sijui ungeshika wapi?
Ange mshka ke vichugu
 
Back
Top Bottom