Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
Wanafunzi wagoma kujibu mtihani wa
maswali yanayosema jaza nafasi iliyoachwa
wazi wakidai wakijaza watajazwa*
maswali yanayosema jaza nafasi iliyoachwa
wazi wakidai wakijaza watajazwa*
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujuwee na waza na sitaki kitanda kije na kifurushi chake LALA ULALIWE nadhani tuta sinzia tume simama [emoji23] [emoji23] [emoji23] bangi komaaaa!Huu mwaka noma. Balaa zaidi ni pale benki watakapo anza promosheni kwenye ATM zao kwamba INGIZA UINGIZIWE
Ujue me mpaka sahii si elewi tuta ishi vipi kama chakula nacho kiki ungana na 2017 bundle KULA ULIWE sijui kama ndio tuta acha kula au Teena ndio vileee[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani aliye weka uhai kwa bangi aondoe harakaaa.Huu mwaka noma. Balaa zaidi ni pale benki watakapo anza promosheni kwenye ATM zao kwamba INGIZA UINGIZIWE
Uingizwe wapi
Duh hatar, yani umecheka kisengee... Angalia usije kusengeka maana hizi promosheni sasa..noma sana!! huu uzi kwa vichekesho ni nyokooo.... yani usipime kubabake mtu mzima nimecheka kisengeeee
Kyekye kye kye kekeee.. Bibi noma sana, maini bado hayajazeekaMama kasema : mimi inapoingia mwanzo hupata taabu,ikisha nazowea.
Mtoto mkubwa : mimi mpaka ifike nusu ndiyo naanza kuona ok.
Mtoto wa mwisho : mie hata yote kamili si hisi kitu
Bibi : kasikiliza kisha kasema mie yaingie na makende yote sihisi kitu.
Mjukuu akamjibu bibi yake : Mwenyezi Mungu akusamehe bibi, sie tunazungumzia Ramadhani......
You guys are killing me[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]BOY : Mambo baby
GIRL: (kimyaaa)
BOY : Mbona kimya hujibu
text zangu baby...
GIRL: (kimyaaa)
BOY : 539967894306871
vocha hiyo ya 5000
GIRL: Mbona haiingii baby
[emoji173][emoji173][emoji173]
BOY : Gongelea na nyundo
[emoji375][emoji375] [emoji375][emoji375]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa mmoja alkua na tabia akilala na mke wake wakiwa faragha raha ikimkolea anapiga makelele,mpk majirani wanackia.siku moja jirani yke mzee hamisi akamwambia hivyo unavyo fanya ni makosa na ni aibu sana,watu wote wanajua ww na mkeo mnafanya nn...jamaa akajibidiisha kwa cku mbili hakupiga kelele.siku ya tatu jamaa akashindwa kustahmili kwa raha ilivyo mkolea akaanza kupiga kelele,"aaaaah,mzee hamisi nisamehe sanaaaa, hamisi aaaaaash,nisamehe ntamaliza xaxa hiviii aaaaaaaah!!!...mzee hamisi akafungua dirisha,akamwambia piga kelele uwezavyo lkn uctaje jina langu majirani watajua umelala na mimi mwanaharamu wewe..tena unikome mbwa wewe.
[emoji23][emoji3][emoji3]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] labda kutunga wimbo wa kwaya tu wakati wa mahafali[emoji16] [emoji16]