Kama wewe hukupitia hizi mambo basi
mwenzetu ulikuwa wa kishua hujasoma shule
zetu zile..Kwa tuliosoma hz shule msijifanye
mmesahau hebu tujikumbushe kidogo.....
(Kwa sauti ya kale kawimbo)
a,b,c,d,e,f,g,h,i,j,k,ELOMENO, p,q,r,s,t,u,v,w,x,y,z....
Turudie tena...ELOMENO,p,q,r,s,t......... Sahz unajifanya mjaaanja...