I decided to travel to US. At The Embassy For Visa Interview, this is what happened
Officer: Where to in the US?
Me: San Jose
Officer: It's pronounced as _San Hosey_. J is pronounced as H in the US.
Me: Oh, okay!
Officer: So how long do you plan to be in the US ?
Me: from Hanuary to Hune or Huly........[emoji23][emoji23][emoji23] naona file lang katupa kwenye ndo ya plastic...cjui ndo processing machine
hyo kitu cha Malawi kupitia temeke mpakani mwa mwanza na zimbabwe😀😀😀😀😀Mwana unapatikana wapi nije tuvute wote?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23], Inaonekana kitu cha Malawi [emoji377]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
سوف اضطهادهم الذين يحبونك
Hii ya ovyo sana.... Ipo ipo tu haieleweki... Ukweli mchungu tuvumiliane MKUU...Palikuwa na shindano dada mmoja alikuwa haridhishwi ukitaka kumfikisha basi upige bao 5 nonstop ndio anakuelewa wengi vijana wa ku boost waliishia bao mbili chali alikuwa na mapene ya kumwaga akatangaza dau vijana kibao wakashindwa mpaka alipotokea mzee mwenye umri wa miaka 70 huyu alikuja na mkongojo wake (fimbo ya kutembelea babu alipiga bao saba Safi kutoka nje anakabidhiwa funguo ya benz mbichi anaulizwa unajua kuokota gia mzee akajibu msiwe na wasi katekenya jino moja huyoooo
Sasa wale vijana walikuwa na pikipiki zao kwa kutokuamini wakajua yule babu kwa muziki ule alipiga akifika mbele lazima afe wakaanza kumfuatilia taratibu kwa nyuma baada ya kilometa 5 babu akapaki kushoto vijana wakajua kazidiwa so atakata moto wachukue benz basi wakaja wananyata kufika kuchungulia wanamkuta babu anapiga chaputa (nyeto )walichoka.
Nimekuongezea stress? pole nduguHii ya ovyo sana.... Ipo ipo tu haieleweki... Ukweli mchungu tuvumiliane MKUU...
Utaskia "raha jipe mwenyewe,ati!"Mkuu wewe kila ukipost uzi unaanza kujilike mwenyewe
Ivi ni kwanini eti[emoji3]
Umetisha sana, umenifanya hadi nimeingia Police post[emoji13] [emoji13] [emoji13] nilifikiri grocery, nimeingia tu kaunta bila kuangalia nikaagiza mwendokasi[emoji13] [emoji23] [emoji23] sahv nipo hom hapa napata massage baada ya kupata maumivu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hyo kitu cha Malawi kupitia temeke mpakani mwa mwanza na zimbabwe😀😀😀😀😀
Hahaha mkuu umenikumbushia mbaali kule Rombo miaka hiyo.Hii ni kweli kabisa...
Shule ya msingi, 1992 - Moshi, Kilimanjaro
Enzi hizo tulikuwa tunaenda shule na kuni. Asubuhi mstarini kila mwanafunzi anakaguliwa kuni ndo naingia darasani. Huna kuni ni adhabu.
Siku moja 'Joji mameno' (ndo jina lake la utani) kaja shule bila kuni. Akaja hivyohivyo mstarini huku anatabasamu kabisa. Sisi tunamuonea huruma maana mwalimu aliyekuwa zamu ndiyo alikuwa anashikilia rekodi ya kuwa mwalimu mkali kuliko wote, Mwalimu Msaki.
Dah ticha Msaki alikuwa anatumia mkono wa kushoto na akikasirika kabisa, anavua saa. Siku hii alivua saa kabisa halafu alikuwa na headboy anamfuata kwa nyuma huku kabeba burungutu la fimbo.
Mwalimu kufika kwa Joji akamuuliza kuni zake zilipo. Joji akaanza kujitetea, "mwalimu hakiyamungu vile nimekuja na kuni mwalimu. Sasa nilipofika niliziweka pale chini kwenye kona ili nikafagie kiwanja changu. Kurudi nikakuta imeibiwa mwalimu hata twende ukaone..."
Kumbe Joji kwa kujua hajaja na kuni, alienda hapo kwenye kona akaanza kupakanyaga na viatu, kisha akavua viatu akakanyaga peku hadi pakaonekana palikuwa pamepitiwa na watu wengi hivyo alivyofika pale na mwalimu akamwambia, "si unaona mwalimu hata nyayo zao hizi hapa walikuwa wanagombania kuni zangu."
.
.
.
Kama ulidhani Joji mameno alipona fimbo, na wewe mwalimu Msaki anakusubiria ofisini.
.
.
.
Dah by the way, RIP mwalimu Msaki.
Nimelala Nikawa Naota... BILL GATE Ananiamsha.."Boss, Boss Amka Chakula Tayari"
....Eti Jaman Hii Sio Dalili Ya Malaria Kweli..??
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
R.ip mwl MsakiHii ni kweli kabisa...
Shule ya msingi, 1992 - Moshi, Kilimanjaro
Enzi hizo tulikuwa tunaenda shule na kuni. Asubuhi mstarini kila mwanafunzi anakaguliwa kuni ndo naingia darasani. Huna kuni ni adhabu.
Siku moja 'Joji mameno' (ndo jina lake la utani) kaja shule bila kuni. Akaja hivyohivyo mstarini huku anatabasamu kabisa. Sisi tunamuonea huruma maana mwalimu aliyekuwa zamu ndiyo alikuwa anashikilia rekodi ya kuwa mwalimu mkali kuliko wote, Mwalimu Msaki.
Dah ticha Msaki alikuwa anatumia mkono wa kushoto na akikasirika kabisa, anavua saa. Siku hii alivua saa kabisa halafu alikuwa na headboy anamfuata kwa nyuma huku kabeba burungutu la fimbo.
Mwalimu kufika kwa Joji akamuuliza kuni zake zilipo. Joji akaanza kujitetea, "mwalimu hakiyamungu vile nimekuja na kuni mwalimu. Sasa nilipofika niliziweka pale chini kwenye kona ili nikafagie kiwanja changu. Kurudi nikakuta imeibiwa mwalimu hata twende ukaone..."
Kumbe Joji kwa kujua hajaja na kuni, alienda hapo kwenye kona akaanza kupakanyaga na viatu, kisha akavua viatu akakanyaga peku hadi pakaonekana palikuwa pamepitiwa na watu wengi hivyo alivyofika pale na mwalimu akamwambia, "si unaona mwalimu hata nyayo zao hizi hapa walikuwa wanagombania kuni zangu."
.
.
.
Kama ulidhani Joji mameno alipona fimbo, na wewe mwalimu Msaki anakusubiria ofisini.
.
.
.
Dah by the way, RIP mwalimu Msaki.
Busha aka mshipa ungekuhusu aisee[emoji115] Laiti ningejua anapoishi huyu mzee mi ningejisogeza karibu, maana kaoa kabinti kadogo, zangu zingekuwa ni ku Assist tu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]