Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

I decided to travel to US. At The Embassy For Visa Interview, this is what happened
Officer: Where to in the US?
Me: San Jose
Officer: It's pronounced as _San Hosey_. J is pronounced as H in the US.
Me: Oh, okay!
Officer: So how long do you plan to be in the US ?
Me: from Hanuary to Hune or Huly........[emoji23][emoji23][emoji23] naona file lang katupa kwenye ndo ya plastic...cjui ndo processing machine
 
Mwana unapatikana wapi nije tuvute wote?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23], Inaonekana kitu cha Malawi [emoji377]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

سوف اضطهادهم الذين يحبونك
hyo kitu cha Malawi kupitia temeke mpakani mwa mwanza na zimbabwe😀😀😀😀😀
 
Palikuwa na shindano dada mmoja alikuwa haridhishwi ukitaka kumfikisha basi upige bao 5 nonstop ndio anakuelewa wengi vijana wa ku boost waliishia bao mbili chali alikuwa na mapene ya kumwaga akatangaza dau vijana kibao wakashindwa mpaka alipotokea mzee mwenye umri wa miaka 70 huyu alikuja na mkongojo wake (fimbo ya kutembelea babu alipiga bao saba Safi kutoka nje anakabidhiwa funguo ya benz mbichi anaulizwa unajua kuokota gia mzee akajibu msiwe na wasi katekenya jino moja huyoooo
Sasa wale vijana walikuwa na pikipiki zao kwa kutokuamini wakajua yule babu kwa muziki ule alipiga akifika mbele lazima afe wakaanza kumfuatilia taratibu kwa nyuma baada ya kilometa 5 babu akapaki kushoto vijana wakajua kazidiwa so atakata moto wachukue benz basi wakaja wananyata kufika kuchungulia wanamkuta babu anapiga chaputa (nyeto )walichoka.
 
Hii ya ovyo sana.... Ipo ipo tu haieleweki... Ukweli mchungu tuvumiliane MKUU...
 
hyo kitu cha Malawi kupitia temeke mpakani mwa mwanza na zimbabwe😀😀😀😀😀
Umetisha sana, umenifanya hadi nimeingia Police post[emoji13] [emoji13] [emoji13] nilifikiri grocery, nimeingia tu kaunta bila kuangalia nikaagiza mwendokasi[emoji13] [emoji23] [emoji23] sahv nipo hom hapa napata massage baada ya kupata maumivu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hii ni kweli kabisa...

Shule ya msingi, 1992 - Moshi, Kilimanjaro

Enzi hizo tulikuwa tunaenda shule na kuni. Asubuhi mstarini kila mwanafunzi anakaguliwa kuni ndo naingia darasani. Huna kuni ni adhabu.

Siku moja 'Joji mameno' (ndo jina lake la utani) kaja shule bila kuni. Akaja hivyohivyo mstarini huku anatabasamu kabisa. Sisi tunamuonea huruma maana mwalimu aliyekuwa zamu ndiyo alikuwa anashikilia rekodi ya kuwa mwalimu mkali kuliko wote, Mwalimu Msaki.

Dah ticha Msaki alikuwa anatumia mkono wa kushoto na akikasirika kabisa, anavua saa. Siku hii alivua saa kabisa halafu alikuwa na headboy anamfuata kwa nyuma huku kabeba burungutu la fimbo.

Mwalimu kufika kwa Joji akamuuliza kuni zake zilipo. Joji akaanza kujitetea, "mwalimu hakiyamungu vile nimekuja na kuni mwalimu. Sasa nilipofika niliziweka pale chini kwenye kona ili nikafagie kiwanja changu. Kurudi nikakuta imeibiwa mwalimu hata twende ukaone..."

Kumbe Joji kwa kujua hajaja na kuni, alienda hapo kwenye kona akaanza kupakanyaga na viatu, kisha akavua viatu akakanyaga peku hadi pakaonekana palikuwa pamepitiwa na watu wengi hivyo alivyofika pale na mwalimu akamwambia, "si unaona mwalimu hata nyayo zao hizi hapa walikuwa wanagombania kuni zangu."

.
.
.
Kama ulidhani Joji mameno alipona fimbo, na wewe mwalimu Msaki anakusubiria ofisini.

.
.
.
Dah by the way, RIP mwalimu Msaki.
 
Hahaha mkuu umenikumbushia mbaali kule Rombo miaka hiyo.
 
Kweli askari wa kizungu ni wakalimu

Nimekutana na sakari wa kike mzungu ameshika paka nikamwambia I LIKE YOUR PUSSY.

Sasahivi nipo kwenye gari lake tunaelekea ofisini kwake nadhani naenda kupukea tuzo huko
 
19428740_1411845642233461_8031323616404570112_n.jpg
 
Tena cerebral malaria kabisa
Nimelala Nikawa Naota... BILL GATE Ananiamsha.."Boss, Boss Amka Chakula Tayari"

....Eti Jaman Hii Sio Dalili Ya Malaria Kweli..??
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Superman inasemekana hakutakiwa kuvaa vile, tatizo alifumaniwa na mke wa mtu[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] wakati anavaa nguo ili akimbie ndio akavaa suruali ndani na chupi kavaa nje[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] ikawa ndio style yake ya uvaaji[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] <br />[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hii ni kweli kabisa...

Shule ya msingi, 1992 - Moshi, Kilimanjaro

Enzi hizo tulikuwa tunaenda shule na kuni. Asubuhi mstarini kila mwanafunzi anakaguliwa kuni ndo naingia darasani. Huna kuni ni adhabu.

Siku moja 'Joji mameno' (ndo jina lake la utani) kaja shule bila kuni. Akaja hivyohivyo mstarini huku anatabasamu kabisa. Sisi tunamuonea huruma maana mwalimu aliyekuwa zamu ndiyo alikuwa anashikilia rekodi ya kuwa mwalimu mkali kuliko wote, Mwalimu Msaki.

Dah ticha Msaki alikuwa anatumia mkono wa kushoto na akikasirika kabisa, anavua saa. Siku hii alivua saa kabisa halafu alikuwa na headboy anamfuata kwa nyuma huku kabeba burungutu la fimbo.

Mwalimu kufika kwa Joji akamuuliza kuni zake zilipo. Joji akaanza kujitetea, "mwalimu hakiyamungu vile nimekuja na kuni mwalimu. Sasa nilipofika niliziweka pale chini kwenye kona ili nikafagie kiwanja changu. Kurudi nikakuta imeibiwa mwalimu hata twende ukaone..."

Kumbe Joji kwa kujua hajaja na kuni, alienda hapo kwenye kona akaanza kupakanyaga na viatu, kisha akavua viatu akakanyaga peku hadi pakaonekana palikuwa pamepitiwa na watu wengi hivyo alivyofika pale na mwalimu akamwambia, "si unaona mwalimu hata nyayo zao hizi hapa walikuwa wanagombania kuni zangu."

.
.
.
Kama ulidhani Joji mameno alipona fimbo, na wewe mwalimu Msaki anakusubiria ofisini.

.
.
.
Dah by the way, RIP mwalimu Msaki.
R.ip mwl Msaki
 
64f67925f3508f98d15988704fbf267d.jpg
[emoji115] Laiti ningejua anapoishi huyu mzee mi ningejisogeza karibu, maana kaoa kabinti kadogo, zangu zingekuwa ni ku Assist tu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
*Nilianza mbele kama kawaida yangu[emoji16]akadai amechoka*[emoji29]
*Nikamgeuza nyuma[emoji39]akaanza kulalamika*[emoji21][emoji21]
*Bwana we si nikataka kumuweka style nyingne[emoji87]akaanza kulia*[emoji24][emoji30][emoji30][emoji31]

*Daah kumnyoa mtoto mdogo kazi kweli kweli*‍

*We waza ujinga tu*[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom