Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Usiku wa mabingwa hewa, mabingwa wa kuchora......[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Nimeungwa ktk grp la Arsenal fans wameniuliza nilianza lini kushabikia arsenal....
Nikasema tangu ule mwaka tuliobeba champions league.....

Saa hizi naona kila message nikituma naambiwa, you can no longer send messages to this group
Nadhani wanataka kuniweka niwe Admin [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Kuna muuza karanga kanifanyia umafia hadi nimejishangaa maana Nilikua najiamini kuwa mi born town.

Nimenunua Kwake karanga za 500 kumbe mfukoni nilikua na msimbazi moja tu (Elfu Kumi).

Basi ameniomba nimsubiri akatafute change me nibaki na kapu lake la karanga.

Sasa ni masaa mawili tangu aondoke hajarudi.

Nimepiga hesabu karanga zilizopo ni za 10,000 kwa hiyo hapa ndo nimeanza kuzitembeza ili nirudishe ten yangu.

Maisha haya jamani[emoji113][emoji21]
 
Je wajua?
Sungura,panya na jamii yao hukimbia na kuruka na umri wao wa kuishi miaka15 tu,kobe ni mnyama asie na papara wala pilika mda mwingi ujificha na kupumzika ndani ya jumba lake akikwepa maadui, umri wa kuishi kobe hufikia ad miaka300
FUNZO: mazoez ni kiini macho na uongo mtupu.jipumzishe mwaya!!!!
 
Ex wangu leo kaupdate status yake ya watsap et "NILIOTEMBEA NAO WOTE[emoji39]MKAPIME[emoji19]"[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Saizi nipo apa pa fundi nguo pana foleni sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harusi sijui lini anapenda kushtukiza sana[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nidai hera ya Amarura joh umeua hatarii
 
Okay, kumbe unaielewa hali yako!
Karibu..

Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji... Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.
Sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi. Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nidai hera ya Amarura joh umeua hatarii
Daah, hebu fanya hako kamchakato mkuu, maana nina kiu hatari!! na huu mkasa wa jana tena daah, yaani ilikuwa hivi;

Eti jana usiku mwizi kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabidi na mimi niamke; nikamuuliza anatafuta nini akanijibu HELA ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hata hela ya kula Jana sikuanayo alichoka nami nikachoka maana tulipekua kweli kweli; ikabidi nimuulize "una uhakika uliweka humu?" Akashangaa akabaki mdomo wazi!

[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Ha ha ha ha....
 
Karibuni Urambo Tabora tulipe Kodi
kwa Pamoja Kodi ya "Tanzania REVENGE Authority" [emoji113][emoji113]
493b2f72fd12361df9f28571e73fb5ea.jpg
 
Daah, hebu fanya hako kamchakato mkuu, maana nina kiu hatari!! na huu mkasa wa jana tena daah, yaani ilikuwa hivi;

Eti jana usiku mwizi kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabidi na mimi niamke; nikamuuliza anatafuta nini akanijibu HELA ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hata hela ya kula Jana sikuanayo alichoka nami nikachoka maana tulipekua kweli kweli; ikabidi nimuulize "una uhakika uliweka humu?" Akashangaa akabaki mdomo wazi!

[emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Back
Top Bottom