[emoji23] [emoji23] [emoji23]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binti:Baba naombaa niende nikajisomee kwa rafiki yangu!!
Baba😛umbavu mkubwaa kaa hapo ujisomee hata mama yako alikuwa anaaga hivo hivo halafu anakujaa ghetoni kwangu!!!
Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zaitun anatoka kuoga akiwa na kanga moja tu anaskia hodi, kufungua mlango akakuta ni jirani yake Fabian ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa, zaituni kavua ile kanga akabaki uchi akaanza kujipaka mafuta akijua Fabi hamuoni na mazungumzo yakawa ni Haya..
Zai : VIPI Fabi MBONA UMEPOTEA YAANI
HUONEKANI SIKU HIZI..?
Fabian: AH NILIENDA INDIA KUFANYIWA
OPERESHENI YA MACHO SASA HIVI NAONA VIZURI KABISA!...
Follow mimiHope mpo okay
Leo nina stress balaa najisikia kuchat tu humu
Hiyo umesema weweMwisho wa siku tutasikia hizo stress ni za mwanaume
ThanksPole
OkayFollow mimi
Stress yann tena?!Hope mpo okay
Leo nina stress balaa najisikia kuchat tu humu
Ya maisha yanguStress yann tena?!
Njoo PMHope mpo okay
Leo nina stress balaa najisikia kuchat tu humu
Heheheeeee haya nakujaNjoo PM
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Pole sanaYa maisha yangu
Heheheheheeee now am okay vibaya mno.......stress ilikuwa ya lisaa 1 tuPole sana