Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

f39718f3bf4ddb0f1a3a97de38351ebb.jpg


sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Binti:Baba naombaa niende nikajisomee kwa rafiki yangu!!
Baba😛umbavu mkubwaa kaa hapo ujisomee hata mama yako alikuwa anaaga hivo hivo halafu anakujaa ghetoni kwangu!!!




Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zaitun anatoka kuoga akiwa na kanga moja tu anaskia hodi, kufungua mlango akakuta ni jirani yake Fabian ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa, zaituni kavua ile kanga akabaki uchi akaanza kujipaka mafuta akijua Fabi hamuoni na mazungumzo yakawa ni Haya..

Zai : VIPI Fabi MBONA UMEPOTEA YAANI
HUONEKANI SIKU HIZI..?
Fabian: AH NILIENDA INDIA KUFANYIWA
OPERESHENI YA MACHO SASA HIVI NAONA VIZURI KABISA!...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pana jamaa katukusanya kijiweni kwa kutuhadithia alipita sehemu akakuta watu wanapiga ngoma upande mmoja wapo dar upande wa pili alikuja kuwakuta morogoro basi waungwana tukacheka yakaisha baadae nikawahadithia na mimi nilikutana na ng 'ombe mmoja mkia upo mtwara kichwa nikaja kukikuta lindi basi yule jamaa akabisha mpaka mishipa ya shingo ikamtoka kuwa haiwezekani kwa upole nikamjibu weye unafikiri hiyo ngozi iliyo tumika kuwamba ngoma yako ilitoka wapi? Akanyamaza
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 

Attachments

bc7b34022ecf27b3f14b7ede039efaf0.jpg

e9d0f230ace8ae2c4cb6ab777defb119.jpg

e18caba8ab6f35ffaee6b3232a376817.jpg
1b312124c3d1f05d94e434a8c2c6d906.jpg

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Back
Top Bottom