[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wavuta bangi watatu walivunja duka la dhahabu ili waibe.
Mmoja alichukua Dhahabu mwengine akachukua pesa wakatoroka yule wa mwisho akabaki ndani.
Mwenye duka akaja na polisi kuingia ndani wakamkuta jamaa amekaa mguu juu ya mguu
Akaulizwa:mbona hukutoroka kama wenzako?
Akajibu:mmoja amechukua dhahabu mwengine akachukua pesa nami nmechukua duka.
Hahahaha huyu mke atakuwa nimchagaMoney is evil
Jamaa mmoja karudi mapema kutoka Kazini mpole!
MKEWE: Vipi leo mbona mapema na mpole hivyo?
MUME: Ofisi yetu imeungua Moto na watu wote wamekufa.
MKEWE: Sasa ilikuwaje wewe ukapona?
MUME: Nilikuwa chooni, nje kidogo na ofisi.
MKEWE: Loh maskini familia zao zitakuwaje?
MUME: Watalipwa milioni 200 kila mfiwa.
MKEWE: Akahamaki kwa hasira, "Ona sasa kunyakunya kwako ovyo umetukosesha mihela yote!!
Hebu rudi huko kabla moto haujazimika!....[emoji85][emoji85][emoji125][emoji125]
Sorry naomba kuiba avatar yako?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]*Tafadhali Kama Unamfaham Mtu Yeyote Aliyepoteza Maisha,*
*Mwambie Kunamaisha Huku Yameokotwa aje kuangalia kama ni yakwake.*
Si ndo bangi imeshaamua asa mi nifanyaje.
Daaahhh nimecheka kwa nguvu nusura ushuzi utoke eti mmetoka wap mnaenda wap
Huyu mwehu ni noma Sana malipo ni hapahapa dunianiHusband on second day of marriage :-
He went to the makeup artist who did his wife's bridal make up, and gifted her a beautifully packed iphone 7 plus box.
Make up artist opened the box with great happiness but was suddenly depressed to see a Nokia 1100.
Husband smiled and said "same feeling I had when I saw my wife this morning"
izi photo shop bhaanaaNdo mama wawili.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]izi photo shop bhaanaa