Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Hahahahaha
 
Swali la kizushi, hivi wachawi wanapodondokaga kwanini havunjiki hata mguu? Anakua salama kabisa hatakama alidondoka kutoka stratosphere, wakati mtu akijikwaa tuu anachubuka balaa.kuna mechanism gani kwenye usafiri wa ungo ukipata ajali hata huchubuki wakati ndege za wazungu mnakufa wote [emoji23][emoji23][emoji23]I think African technology is the best of wazungu Kama tukijiendeleza
[emoji113][emoji113][emoji113]

WpK
 
Da mwanang. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa ungo umeekewa mechanism ya invisible airbag[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 

[emoji115] [emoji115] [emoji115] ingekuwa mimi ndio huyo mchoraji[emoji38] [emoji38] [emoji38] angesikia tu, imoooooooo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23]

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
Na wazungu wangekuwa washatoka.
 
HIZI NDIO AINA KUU ZA TUNGO

Mfano.

1.Mwanafunzi ana ngoma
-Tungo tata

2.Juma anakwenda Kibiti.
-Tungo hatarishi

3.Umepokea kiasi cha sh.1,000,000 kiwango chako cha Mpesa ni sh 1,500,000
-Tungo tamanishi

4.Msiba wa mkwe umenikuta na sh 1200 mfukoni
-Tungo huzunishi

5.Kawogo kaokota Dola elfu kumi Mtaa wa Kongo
-Tungo ndoto

6.Maisha ya nyumba ndogo yana raha kuliko ya nyumba kubwa
-Tungo mchepuko.

7. mwanafunzi unaetembea nae kukwambia hazioni siku zake[emoji42]
-Tungo shtushi

NI MFANO WA TUNGO TU HIZO ILA SIO KWELI[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
-Dikteta uchwara apingwe!
Tungo chochezi.
 
Reactions: PNC
Jamani humu kuna msichana mwenye chuchu saa sita?[emoji15] [emoji15]
Nataka anirekebishie saa yangu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuna mda nacheka nakujisahaulisha ujinga Wa dikiteta uchwara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…