Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Sijaona kilichokuleta humu. Hizo mb ungezitumia kusoma tuMechi za uswazi tumepiga game mshika kibendera akaachia offside dhahiri tukakoswa goli basi timu nzima tukamfuata na kuanza kumtukana "wewe m.s.e.n.g.e nini yaani mtu kaotea weye unaachia tutakubutua "basi akawa mpole game ikaendelea ikaja offside akanyoosha kibendera mara nyingine sio offside kabisa yeye akanyoosha kibendera tukajua kumbe domo limesaidia na ule mkwara mbuzi basi ikatiwa ndefu offside kabisa tukajua kama kawaida atanyoosha loh kaweka kibendera chini kaenda nae jamaa mpaka akafunga sasa waqt anarudi kati akasikika akisema "huo ndio u.s.e.n.g.e wangu huo ndio u.s.e.n.g.e wangu kwa sauti wote tukimsikia basi hakuna aliepata nguvu za kumfuata na kumkoromea tena tukaweka mpira kati.
Sent using Jamii Forums mobile app