Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Mechi za uswazi tumepiga game mshika kibendera akaachia offside dhahiri tukakoswa goli basi timu nzima tukamfuata na kuanza kumtukana "wewe m.s.e.n.g.e nini yaani mtu kaotea weye unaachia tutakubutua "basi akawa mpole game ikaendelea ikaja offside akanyoosha kibendera mara nyingine sio offside kabisa yeye akanyoosha kibendera tukajua kumbe domo limesaidia na ule mkwara mbuzi basi ikatiwa ndefu offside kabisa tukajua kama kawaida atanyoosha loh kaweka kibendera chini kaenda nae jamaa mpaka akafunga sasa waqt anarudi kati akasikika akisema "huo ndio u.s.e.n.g.e wangu huo ndio u.s.e.n.g.e wangu kwa sauti wote tukimsikia basi hakuna aliepata nguvu za kumfuata na kumkoromea tena tukaweka mpira kati.
Sijaona kilichokuleta humu. Hizo mb ungezitumia kusoma tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Husband on second day of marriage :-
He went to the makeup artist who did his wife's bridal make up, and gifted her a beautifully packed iphone 7 plus box.
Make up artist opened the box with great happiness but was suddenly depressed to see a Nokia 1100.
Husband smiled and said "same feeling I had when I saw my wife this morning"
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JE WAJUA KUWA VIAZI VITAM HUONGEZA
HAMU YA KUFANYA MAPENZI NA KUSAIDIA
KUCHELEWA KUFIKA KILELE?

JINSI YA KUTUMIA

(1) Chukua viazi vitamu vyembamba
vyenye rangi nyekundu

(2) usivimenye bali vioshe na uvichemshe kama vilivyo ... Hakikisha vimeiva na uviepue.

(3) Hakikisha unakula na maganda bila kutumia
kinywaji chochote!!

(4) Baada ya hapo tambua kuwa mapenzi ni hisia zako hivyo umejifunza kupika viazi vitamu na siyo tiba maana macho yalikutoka. kama una tatizo hilo muone Doctor.

(5) Usijione mpuuzi utakuwa umejifunza kitu si kila tiba unataka kujaribu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukiwa unafanyia wagomjwa operesheni nyumbani ndo kunaitwaga HOME THIETA

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
36ecb43209fc58f4c8e439690fcfd3ce.jpg

Karibu jani[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Jamii Forums mobile app
 
*UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni. Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake. Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.*

*Hivi mmenielewa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni. Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake. Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.

Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
 
Hii ni kali kuliko zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimelala Nikawa Naota... BILL GATE Ananiamsha.."Boss, Boss Amka Chakula Tayari"

....Eti Jaman Hii Sio Dalili Ya Malaria Kweli..??
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni. Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake. Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.

Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
Duh aisee![emoji3] [emoji3] hapo ndio utajua kwanini mbwa hanenepi miguu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom