Uwe unaeleweka na wwAiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenivunja mbavu,
Skku 1 jamaa alichezwa hiyo game,hivi
Aliomba mwanamke jiran issue huyo mma kamtonya mke wa jamaa,masaa yamefika maeneo wakakutana,yule mk akadai anarudi home akajipange kutoa nguo na kujiweka sawa zaidi,kumbe ndipo mkanda unabadirishwa kwenye DVD,kurud akarud amejifunga kanga vzr,,,,jamaa na kiwewe hakuchunguza na hali ya giz kjijin,akapalamia dude,we...baada ya muda ndipo jamaa akaanza zake,,,huuumm mama fulani aisee tamu kweli kweli,,,,gafla bin vuuu akaulizwa mme wangu kbe nakuwaga mtamu tukiwa kichakami ???
Kuchunguza si mke wake !!!!
Kma ingekuwa ww ungejibu nini ?
Na ungeendeleza gemu mpaka umalize ? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utoto bado sijaacha..!!
*Nimefika Ubungo stendi ya mabasi wapiga debe wakawa wanasumbua sana wananiuliza naenda wapi, nikajibu ZANZIBAR.*
*Nimewaacha nawasikia wanataja sehemu za siri za binadamu itakuwa wanakumbushana biology*
"Ideas are easy but Implementation is hard."
Ndio mambo ya majaaliwa tena hayo hebu waza kama ingekuwa tunaazimana viungo ingekuwaje maana wenye mihogo wangesumbuliwa sana na vibamia siku ana game au mwenye nyonyo zilizo lala ingekuwaje kwa wenye chuchu toboa (saa sita )duh sijui nawaza nini!
Mpigwe mpaka vumbi lifuke*tangu* *Nina* *miaka* *mitano* *jeshi* *la* *Tanzania* *linafanya* *mazoezi* *sijawahi* *kuona* *wakipigana* *vita*
*Hivi* *kwanini* *tusiombe* *mechi* *ya* *kirafiki* *na*
*Pakistani* *au* *north* *Korea*
[emoji1321]
[emoji23]Nmekutana gari yenye plate number PT nikaomba wanipatie pregnant test saivi tunaelekea stakishali nadhan ni kwenye maduka yao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya mambo ya smartphone haya!
Mama mkwe katuma sms kutujulia hali nami nikamjibu KWEMA HUKO nikatuma sasa nakuja tahamaki kumbe imejiandika KWENDA HUKO
sasa hapa najaribu kupiga simu hapokei sijui ameweka silent!
Tupo mkuu majukumu tuuFreyzem
lothrito
jakitoo
Numbisa
stickvibration
Guasa Amboni
Salmah99
Siku hizi hatuutendei haki uzi....
Jamii Forums mobile app