Ladislaus dominic
Member
- Dec 14, 2016
- 13
- 9
Haa,, mwambie "fight with your weather" [emoji310] [emoji310]```Kuna demu wa kizungu nimemuacha sasa anasema eti hawezi ishi bila Mimi..
Sasa nataka nimwambie "pambana na hali yako"....kwa kidhungu wanasemaje vile...!! Msaada tafadhali```
Sonia G[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nilim4 getFreyzem
lothrito
jakitoo
Numbisa
stickvibration
Guasa Amboni
Salmah99
Siku hizi hatuutendei haki uzi....
Jamii Forums mobile app
Fara!
Jamii Forums mobile app
Pombe kweli mbaya, kuna mlevi Jana aliulizwa mwezi umepatwa umeuwona, akajibu "sijauwona mimi nafata saudia"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
[emoji23][emoji23][emoji23]MADAKTARI KWELI HUONA VITUKO
Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,,
Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,
Daktari : Hebu vua nguo tuone,
Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.
Daktari : usijali mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa.
jamaa akavua suruali kuonesha dushelele yake. basi dokta kuona, ustaarabu ukamshinda akaanza kucheka na akacheka kama dakika 3 hadi machozi yakamtoka.Dushelele ya jamaa ilikua ni kadogo kama betri Ya AAA (betri za remote ya king'amuzi).Daktari alipomaliza kucheka mazungumzo yakaendelea,,
Daktari : enhee Tatizo ni nini???
Jamaa: IMEVIMBAA toka juzi,
Daktari Akazimia pale pale,,,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kupata mtotoSonia G[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nilim4 get
Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]KUMSAIDIA MTOTO HOMEWORK[emoji818]
Kusaidia mtoto wa Vidudu Homework ni ngumu sana. Jana nimemuuliza SWALI LA HESABATI "Nina pipi tano, nikiwagawia watoto watatu kila mmoja pipi moja moja nitabakiwa na pipi ngapi?"
Akaniambia Toa kwanza nizione..
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Kupata mtoto kivipi?Hongera kwa kupata mtoto
Nothing straight from crooked timber of humanity can be done