Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Hahahahahahhahahahahahahaahahhaaaaaaaa............aisee unajua kuchekesha yani uwa nikisoma nacheka mpaka machozi yanatoka khaaaa......be blessed kwa kujua kutufurahisha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kujipendekeza hakujawahi kumuacha mtu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahhahahahahahahaahahhaaaaaaaa............aisee unajua kuchekesha yani uwa nikisoma nacheka mpaka machozi yanatoka khaaaa......be blessed kwa kujua kutufurahisha
Siku moja kabla ya harusi yako, Bakhresa anakuomba uachane na hiyo harusi ili ufunge ndoa na mtoto wake. Amekuahidi kukupa Bilioni 500 taslimu za kitanzania; UTAFANYAJE?????
Mimi nitakubali sio kwamba napenda sana hela ila kwa sababu napenda kuheshimu wazee tu!!
[emoji23] [emoji23][emoji23]
 
Hahahahahahahahahahahhahaaaaaa my ribs.........hata mimi napenda kuheshimu wazee
 
Hahahahahahahahhahaaaaaaaaa aiseeee my ribs khaaaaaa
 
MUME MWAMINIFU ANAPATIKANA HAPA.

Tafuta Lori(semi trailer) ambalo Plate Namba zake za mbele zinafanana na namba za kwenye Tela,
Ukilipata mfate Dereva , Fanya mpango awe mume wako maana huyo ndo mwanaume mwaminifu duniani.

Share ujumbe huu kwa wenzako ambao hawataki kuolewa wakisubiri MUME mwaminifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*VIJANA WA LEO*
_*Surali 20,000/-*
_*T-shirts 25,000/-*
_*Saa 15,000/-*
_*Simu 450,000/-*
_*Body spray 25,000/-*
_*Sadaka 1000/-*
```Baraka utazisikia tu kwa wenzako.
Kenge wa Ukerewe wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]```
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…