Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28] kenge mwenyewee
 
Nilikuwa gheto nasikiliza matangazo ya mpira wa yanga simba, mara nasikia mtangazaji anasema mpira unakuwa ni mwingi unakuwa ni wa kutupwa... tena nikasikia Tambwe anaenda kutupa mpira..... Nikaamua kufunga safari kwenda uwanjani nikaokote mipira, maana ilitupwa mingi sana. Kabla sijafika mtangazaji akasema mpira umekwisha....
Nimesimama hapa barabarani naona watu wanatoka uwanjani wamekasirika sana, nahisi nao wemeenda wakakuta mipira imekwisha.
 
NIPO SIRIOUSJAMAN

Mm ninaesoma text hii nina mimba ya huyu alietuma
nikwelikabisa....

[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
 
Babu hakuwa romantic dakika mbili nyingi kawaka kifupi alikuwa kauzu mtata mkuda mkoloni flan hivi. Siku moja kamwambia bibi leo tukumbushie enzi zetu wakati nakusotea nitakusubiri pale chini ya mwembe bibi akamwambia saa mbili za usiku babu sawa.
Babu moja na nusu yupo pale kang'atwa na mbu mpaka nne na nusu bibi hajatokea babu karudi home akaingia na mlango kafyumu si kitoto kamkuta bibi sebuleni
Babu :sasa tumepangaje nawe umefanya nini?
Bibi :huku anajing'ata kucha akasema "mama alinikataza nisitoke
Babu ilibidi acheke tu wakaenda kulala.
 

Kwi kwi kwi Hatar kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…