Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

MIMI SIO WA SPORT SPORT...!

Jana nimeenda kuazima pasi chumba jirani, ili ninyooshe nguo zangu, Jamaa wakaniambia nichukue nguo nikanyooshe room kwao maana hawataki pasi yao itoke.
Sasa leo amekuja mmoja wao kuazima mopper akasafishe room, nimemwambia aje adekie humu humu...

Jamaa kaondoka na dhani atakua kaenda kuchukua maji.
 
Mchizi mmoja alipanda juu ya mti wa mwembe tangia asubuhi.
Ilipofika jioni akajiangusha toka juu ya mti hadi chini.
Dokta akaenda kumuuliza sasa kwanini umejiangusha?wakati tokea asubuhi ulikua umetulia juu ya mti?
Mchizi akamjibu Dokta nimeshaiva ndio maana nimeanguka
 
Kali kinoma hii!

===========================
Jana demu wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8.
nikamuuliza wapi kaniambia ameibiwa mjini nikampa pole alafu akainiambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu nyingine nikamwambia njoo geto uchukue. Mida ya saa 12:30 kashafika nikampa laki4 kaondoka kwenda kwao huku nyuma mm nikavaa mkoti mrefu na maski nikakimbia nikaenda kumsubiria mbele. Kaja kafika kwenye kona moja hivi nikaona hapahapa ndo pakumalizia mchezo fasta bila kupoteza mdu nika mpiga kabari ya maana na kuchukua laki8 yote nikatokomea zangu kufika geto2 akanipigia simu huku akiwa analia nikamuuliza kulikoni akaniambia amekabwa nakibaka na kunyang'anywa hela yote, nikamwambia arudi nije nipe nyingine akaja nikampa laki4 yake na mimi nikabakia na yakwangu halafu akaniomba nimsindikize hadi kwao anahofia kukabwa tena nikamwambia alale ataenda kesho.
maswala yakurudisha maendeleo nyuma sipendg laki8 yote ununulie simu wakati mm mwenye simu ya laki1 yenyewe sijawahi kununua
sipendagi ujinga mimi[emoji35][emoji35][emoji35][emoji379][emoji378]
 
Nyie wadada ambao wanaume wakiwatext mnajifanya hamjisikii kujibu na mkijibu mnajibu short hadi nakosa mood kukutext tena
Amini amini nawambia,, itafika kipindi mnataka wanaume wa kuwaoa na hamta pata hadi itafika hatua mtu akikusalimia "HABARI YA SAA HIZI" unamjibu "NDIO NIMEKUBALI"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndo nmemalizia kula unga
 
Hahahaha umetisha Mkuu
 
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Rafik angu kachora tatoo ya jina la dem wake juzi... leo kaskia dem wake anaolewa nipo nae apa tunasubiri pasi ipate moto...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani visu havipo? Mwambie achune ngozi kabisa coz anaonekana ana mauchungu sana
 
Kweli wewe hupendagi ujinga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hao askari kweli wajinga, sasa wako watatu bado wanataka na wewe uongezeke muongee...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…