Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

MASWALI NA MAJIBU
DARASANI
SOMO LA DINI

Mwalimu-Hivi ni Nabii gani wa kwanza aliekua akiongea na wanyama?
Mwanafunzi-Tarzan
[emoji3][emoji38]
 
Jana nimesoma makala katika gazeti ikielezea madhara mengi yatokanayo na pombe. Baada ya kusoma niliingia penye tafakari kubwa sana na kuamua kuchukua maamuzi magumu nayo ni kwamba kuanzia leo tarehe 30.8.2017 nimeamua kutokusoma tena magazeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…