stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Kweli bangi huachi!*BREAKING NEWS*
aliekuwa mbunge wa singida mashariki MH TUNDU LISSU hatunae tena hapa tanzania yuko Nairobi kwa matibabu
[emoji1321][emoji1321]y
*BREAKING NEWS*
aliekuwa mbunge wa singida mashariki MH TUNDU LISSU hatunae tena hapa tanzania yuko Nairobi kwa matibabu
[emoji1321][emoji1321]y
Really?? Nakutana nao and we all happy that we doing well.Hakuna furaha kama kukutana na EX wako akiwa amechoka amewamba kapauka na kila dalili ya kukuomba msaada. Nafsi yako huburudika sana.
Nb :tukivua vazi la UNAFIKI huo ndio ukweli.
Mwambie dada boya huyo hahahaaaaauyoo alikunyimaga.........Ex mliepotezana mda ata kama mliachana ki shari mkikutana lazima kupasha kiporo[emoji28][emoji39]......so muombee Ex wako mafanikio banaa
Mungu na akuhukumu kwa kadri ya unavyostahili!
Mimi nimesoma walio like post yako tu, kwamba kunya ni starehe nambari one, baaaaasi!!PIMA JOTO YA LEO
Starehe ya kwanza Duniani
Ni "KUNYA"
aneaukubaliana na kipimajoto hiki agonge LIKE[emoji1321]
I have broke into tears!I started fearing smoking weed,when I saw my neighbour's son dancing to the sound of my generator. ..When I switched it off he asked me who sang that song ? Because I was afraid he would beat me , I answered " Yamaha featuring Petrol" [emoji23][emoji12][emoji12]
Ohoo![emoji15] [emoji15]dalili za ushoga izii kama waskia raha ivoo ata ukipigwa mshedede utaburudika vilevile
huu ni ukweliHakuna furaha kama kukutana na EX wako akiwa amechoka amewamba kapauka na kila dalili ya kukuomba msaada. Nafsi yako huburudika sana.
Nb :tukivua vazi la UNAFIKI huo ndio ukweli.
We Jamaal unamaneno Sana, ningekujua ningekufuatikia nikupige risasi nyingiUkiona ww ni mwanaume,unapika ugali haukuti hata buja moja ..........MY DEAR BROTHER TAFUTA MUME ,WW NI WIFE MATERIAL [emoji276]
Una uhusiano na watu wasiojulikana...!?We Jamaal unamaneno Sana, ningekujua ningekufuatikia nikupige risasi nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
totoo jinga iliii.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiona ww ni mwanaume,unapika ugali haukuti hata buja moja ..........MY DEAR BROTHER TAFUTA MUME ,WW NI WIFE MATERIAL [emoji276]
Shukran kwa kutambua hivyo wengi wetu huwa tunaficha au kujidai (pretend )kuwa tupo sawa lakini maumivu yetu yapo moyoni.huu ni ukweli
asante mkuu you are very trueShukran kwa kutambua hivyo wengi wetu huwa tunaficha au kujidai (pretend )kuwa tupo sawa lakini maumivu yetu yapo moyoni.