kama kawaida chawa hawakosekanagi kuharibu threads za watuKama utakipenda kimoja njoo PM tuzungumze biashara
1. Freezer aina ya Boss Tsh250000. Haina mlango wa mtungi wa gesi
.
2. Feni ya chini Tsh 15000/=. Inawaka kwa machale.. yaeza kukaa hadi masaa 2 haijaanza kuzunguka
,
3. Pasi ya umeme aina ya Phillips. Tsh 12000/=, haishiki moto kabisa hata ikae nusu saa kwny umeme na kidude cha kuregulate moto kimeharbika..
4. Meza ya plastic Tsh 75000/= ina miguu 3 na mmoja mfupi kidg.
5. Vikombe vya udongo Dozen 1 Tsh 25000/= ila vilipata ajali kidg.. vimekatika mikono na vingne vimetoboka chini
6.Redio ya caset lkini haina transiforma bei 34000
7.Flat scren bei 50000 kioo kimepasuka na haina rimot control na batan zime haribika fasta nichek [emoji41]
8.Simu aina ya Sumsung s7 edge 470000/= ilidondokea kwenye maji ikapiga shot, kitufe cha kuwashia hakipo na hata ukiweka kingine haiwaki, ni simu nzuri bora na ya kisasa!
9.Kamera aina ya sony mp 16 bei 62500/= haina lens, ni mbovu hata mafundi hawaitaki kama spea.
10.Bajaji aina ya tvs, bei 1400000/= haina matairi, viti wala usukani! Imetumika miaka 8 na inadaiwa kodi ya miaka 2!
Karibuni, bidhaa ni nyingi sana, zipo za aina tofauti tofauti kama magari, ndege, treni, meli, maparashuti, vifaru, n.k vyote hivyo vikiwa katika hali mbaya sana, (ikumbukwe hizi ni toys za watoto zilizotumika huko uswahilini na kutupwa kwenye majalala)
Sijui atakua anamaanisha wewe, lakini Itakua ni weweNani chawa...?
HahaaaaPana demu namtongoza hapa cha ajabu kahamaki na kuniuliza kwanini namtongoza wakati anamjua mke wangu? nami kwa upole kabisa nimemuuliza kwani ukienda kununua nguo unakwenda uchi? naona anacheka na kung'oa ng'oa nyasi sijui ng'ombe watakula nini!
Hahahahahahah we jamaa bhanaVita baridi ni nini?
Vita baridi no pale ambapo we we na baba yako mnabishana kuhusu mpira yeye anasema Giroud mkali kuliko messi..halafu we we ukajisahau ukadhani upo kibandani unaropoka "msikieni huyu matako" [emoji23] [emoji23]
HahahahaVita baridi ni nini?
Vita baridi no pale ambapo we we na baba yako mnabishana kuhusu mpira yeye anasema Giroud mkali kuliko messi..halafu we we ukajisahau ukadhani upo kibandani unaropoka "msikieni huyu matako" [emoji23] [emoji23]
Hahaha we jamaaa ujue unaonekanaJINSI YA KURUDISHA UPYA NGUO YAKO ILIYOCHAKAA AU KUPAUKA!!!
WATU wengi hukosa raha haswa pale nguo zao wanazozipenda zinapochakaa au kupauka;;
Fanya kama ifuatavyo
1:chemsha maji yachemke kwa (100C°)
2:weka nguo yako kisha iache ichemke ndani ya dakika50
3:itoe nguo yako!!
4:weka mafuta,kitunguu,nyanya na chumvi kidogo
5:chukua nguo yako,iweke na ukoroge kisha ufunikie!!
Ona unavyonifatilia kwa makini,kama nguo imepauka kanunue nyingine kwani madukani zimeisha??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15][emoji15]hivi papuchi ndo nini?