Dar ubungo bus terminal wappoJamani huwa nakaa najifikiria sana mpaka naona labda mimi Gentries sina Bahati jamani ila nawaomba sana tena sana mnisaidie mwenzenu Yeyote atakaye kutana na MASAI mwenye ndevu plz mpige Picha nitumieni mwenzenu sijawahi kumuona hata mmoja nipo serious mwenzenu plz
Wakati kama unachukua ya 500 mayai 30 = 15000[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wauza maduka wengine chenga kweli[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Kuna muuza duka kasababisha nikimbie duka lake, eti yai moja 500 trei 16000, nikamwambia anipe ya 500 mayai 30 eti anasema nimpe 16,000, nikamwambia kwani si nimechukua ya 500 mayai 30? Akasema eti nimechukua trei[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Octahedral...
We jamaa bangi zitakuuaUKIWA NA SURA MBAYA HAIMAANISHI NDO UKAE NDANI UJIFICHE..TOKA TEMBEA .UNAWEZA KUPATA HATA BAHAT YA KUSHIRIKISHWA ...KWENYE MOVIE ZA KICHAWI.........
[emoji276][emoji276][emoji276][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi vutaWe jamaa bangi zitakuua
Akimaliza masomo amtaki tena huyo anakwenda kwa mwingine