Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Jamani huwa nakaa najifikiria sana mpaka naona labda mimi Gentries sina Bahati jamani ila nawaomba sana tena sana mnisaidie mwenzenu Yeyote atakaye kutana na MASAI mwenye ndevu plz mpige Picha nitumieni mwenzenu sijawahi kumuona hata mmoja nipo serious mwenzenu plz
 
Dar ubungo bus terminal wappo
 
Kuna muuza duka kasababisha nikimbie duka lake, eti yai moja 500 trei 16000, nikamwambia anipe ya 500 mayai 30 eti anasema nimpe 16,000, nikamwambia kwani si nimechukua ya 500 mayai 30? Akasema eti nimechukua trei[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Wakati kama unachukua ya 500 mayai 30 = 15000[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wauza maduka wengine chenga kweli[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
30ef2755e9a5868ad5e8c9001d9a812a.jpg
Akimaliza masomo amtaki tena huyo anakwenda kwa mwingine
 
Hakuna mtu mwenye familia kubwa kama kondakta wa matatu.
Utasikia haya 'dada' hapo mbele,'mjomba' kule mwisho, 'ma mdogo' unaenda? Ngoja 'bibi' ashuke, haya 'shemeji' njoo twende. 'Babu' njoo ukae, 'babaangu' hapo tusogee kidogo, 'shangazi' kaa upande mmoja, 'Braza' shika chenji yako 'Aunty' mpakate mtoto.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mambo-ya-Pesa
*Kuna dem mmoja kaja home kaniomba pesa nikamwambia sina cash labda bank au M pesa akanambia hapo barabarani kuna wakala twende tukatoe, wakati tunatoka nikamtext mshikaji wangu nikamwambia mi nakuja hapo kwa wakala nikifika karibu nitajifanya kama naongea na simu halafu we utakuja kunipora. Kweli tumefika karibu na wakala mshikaji kaja kanipora simu kakimbia nayo mi nikabaki nashangaa kama cjui kitu cha ajabu yule demi kakimbizana na mshikaji cjui kamkamatia wapi kaja anampiga makofi jamaa yuko hoi dem kanigea simu nimetoa hela nimempa kaondoka hapa mshikaji nae kaniganda nimpoze maana sio kwa vitasa alivyochezea na shati lake limechanika hata cjui nifanyeje*
 
Back
Top Bottom