Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*Thank you kitanda*
*thank you shuka*
*thank you net*
*and Other majority good night USINGIZI*
*I am here to propose the motion which states that 'USINGIZI IS BETTER THAN KUCHART'* *according 2 our shortage of time I have only one point which is*
*1:jamani tupumzishe ubongo stress zipo tu*
*any question??*
*Good night for you!
 
MASWALI NA MAJIBU KATI YA MAMAMKWE NA MWINGA WAKE

Mamamkwe—wewe mbona hawa watoto unaowazaa hawafanani na Mwanangu??
Mwinga—Mama wanapotokea hawa wajukuu zako huko chini hakuna mashine ya PHOTOCOPY[emoji3]
 
Hakuna kitu kinaniboa kama kukuta tangazo la kitu kizuri lakini wameliandika kwa kiingereza na kiingereza chenyewe kibovu wakati wanaonunua scrapper unakuta kwenye tangazo lao neno scrappers limeandikwa vizuri[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Noma
 
Mzee kaniuliza‍♂‍♂ nasikia una mahusiano na[emoji68]‍[emoji161][emoji68]‍[emoji161][emoji68]‍[emoji161] nikamwambia ndio sasa unataka niwe na mahusiano na insect[emoji220][emoji220][emoji220][emoji220][emoji220] wakat mm ni Mammalian[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] naona mzee amekuja na waya[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] nadhani anataka kuunganisha DSTV[emoji16][emoji16]
 
polisi alishika watu wa tatu maskani wakinuka bangi lakini hakujua alovuta ni nani kati yao, Akumuuliza wa kwanza " Mechi ya chelsea na Manchester nani kashinda ? akajibu "Manchester
" Akamuuliza wa pili " kati ya makafiri na waislam nani alishinda vita vya uhud ? akajibu waislam .

Akamuuliza wa tatu umejifunza nini kutokana na haya majibu ? akajibu nimejifunza Manchester na waislam watacheza fainali.
[emoji3][emoji3]

Kweli MSUBA ni Nomaa,, Wakuu[emoji3]
 
UTAFITI
Baada ya kufanya utafiti na kuridhika nao. Sasa tumeamua kuutoa mbele ya watanzania! Kama hujui hesabu hasa Probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo tunaenda kuzungumzia uwezekano wa mtu kuolewa au kuoa:

WANAWAKE

1. Ukiwa una tabia nzuri ila shape na sura haujafinikiwa uwezekano wa kuolewa ni asilimia 40%

2. Ukiwa una tabia nzuri shape nzuri ila sura haukufanikiwa uwezekano wa kuolewa ni asilimia 70%.

3.Ukiwa na sura nzuri shape nzuri na tabia nzuri uwezekano wa kuolewa ni asilimia 85% kama hauna mtoto. Na kama una mtoto ila haukai naye ni asilimia 65%

4. Kama umezaa mtoto na uko unaishi naye yaani hana pa kwenda basi uwezekano wa wewe kuolewa na mtu ambaye sie baba wa mtoto ni 30% .

5. Ikijulikana wewe ni kicheche mtaani kwenu haujatulia basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 5%. Ila uwezekano wa kupewa mimba na kuachwa ni asilimia 80%.

6. Ikijulikana wewe ni bikra mbele ya watu na wakajua wakawa na uhakika basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 93.5%.

Kwa wanawake ikumbukwe kila degree unayoongeza kwenye kusoma inapunguza uwezekano wa kuolewa sasa basi:

7. Kama una degree moja uwezekano wa kuolewa ni asilimia 70%

8. Kama una masters basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 45%.

9. Kama una PHD basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 15%

10. Kama umekuwa Profesa basi dada yangu uwezekano wa wewe kuolewa ni asilimia 2%.

11. Kama una matege na ndo changamoto yako basi dada ukivaa sketi siku zote uwezekano wa kuolewa unakuwa asilimia 70%. Lakini kama unavaa suruali kuonyesha matege yako miguu inazunguka zunguka kama feni basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 3%. Na hawa wanaume watakaokuoa ni wale vipofu!

12. Kama umezalishwa watoto kama watatu na hujaolewa basi wewe uwezekano wa kuolewa ni asilimia 2%.

13. Kama unashinda online kazi kupost picha insta, whatsapp, facebook, panyabuku na countabuku basi uwezekano wa wewe kuolewa ni asilimia 15%.Yaani kila mwanamume anahisi wewe ni mali ya uma.

14. Kama wewe ni kibonge sana basi uwezekano wa kuoelewa ni asilimia 50%. Punguza kula dada yangu. Ukishaolewa kula nenepa mpaka upasuke.

15.Kama wewe ni mwembamba sana basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 40. Nenepa kidogo!

16. Kama unatumia simu ya TECNO uwezekano wa kuolewa ni asilimia 70%.

17. Kama unatumia Iphone basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 10%.

18. Kama una marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike. Basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 30%. Utasema hao ni marafiki ila kumbuka wanaume hawaaminianagi. Wewe pia utaonekana ni mali ya uma hata kama sio!

19. Kama unanuka mdomo. Dagaa sijui wa juzi ulikula basi uwezekano wa kuolewa na wewe ni asilimia 20%. Hamna mwanamume ambaye yuko radhi atapike siku akiambiwa "You can now kiss the bride!"

Naona mpaka hapo mtakuwa mmeelewa maana ya probability na mnaweza kucalculate za kwenu. Haya tuamie kwa jinsia zilizobaki[emoji3]

WANAUME
1. Kama hauna hela uwezekano wa kuoa wewe ni asilimia 0%
Xe.
2. Kama una hela basi uwezekano wa wewe kuoa basi ni asilimia
100000%.

Simple sana kwa mwanaume

MWISHO
[emoji196][emoji196][emoji204][emoji204][emoji196][emoji196]
 
We jamaa ni noma acha kabisa cna mbavu
Hebu jiulize, umeshikwa na tumbo la kuhara mara chafya paaaap!
Ndugu yangu hapo ndio utajua wahenga walimaanisha nini waliposema mshika mawili moja humponyoka...!![emoji48][emoji38][emoji38]
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…